mkuu asante sana ni somo zuri kwakweli,tunatakiwa tu kuwa serious na uwazi wa matatizo yetu hasa huku jf utakuta mtu analeta uzi ambao hata hauna logic ya ukweli wa tatizo au na mwingine just kuweka jokes kwenye tatizo la mwenzake wakati aliyepost pengine yuko serious na hilo tatizo lake,nadhani...
pole sn dada hapo inabidi umpe moyo mumeo na ikibidi mueleze kwa upole jinsi unavyopata shida lol hajapitia mafunzo ya wazee nn huyo kuwa mke kwanza?!!!!!!!!!!
wadau swala la chakula labda km yupo home atatakiwa kutake care of it ila itakuwa ngumu muda wote awepo coz cku hzi maisha ni kila mtu kutafuta na hayo mengine mpaka ayafanye nani anampa km c huyo mwanaume na tamaa zake???????!!!!!!!!!!!!!!! cha muhimu baba jiheshimu umchukulie huyo binti km...
nadhani hilo laweza kuwa tatizo la kisaikolojia zaidi coz hyo kazi inahitaji maandalizi zaidi ya kiakili na inabidi apate mtu wa kukaa naye wa kumpa romantic words mpaka asahau yaliyopita km yapo then maisha yaendele tena yatakuwa mazuri balaa
mkuu huyo dada ulimpenda au ulimtamani? kwann umdanganye? kwanza una bahati coz ana mpango wa kuendelea na ww ingekuwa mwingine ndo byebye coz km uliweza kumdanganya kitu kidogo hvo je mengine?
pole sn dada ila hapo unatakiwa uangalie km hzo picha na chat zina uhusiano wa kimapenzi na zaidi wa kukupa ukweli ni mumeo na c mwingine,pia inawezekana hao wadada ndo wanam -aproach so kuwa makini na chat nani mwanzilishi na je majibu niaje? dili na mumeo mama muulize unachokosea km kipo...
cjui sna lkn c kuna wale wanaosema kuna kugeuza shuka ulilolalia ili na mwenzio aote the same ishu??!!!!!!!!!!!! ha ha ha ha lol cpati picha!!!!!!!!!!!!!
sure inaboa ila ningemuuliza bidada km huwa anaongea mwenyewe au anamshirikiksha kwenye hayo maongezi? pia sioni km ni busara kuweka ishu km hiyo ya ububu hadharan hvo b4 ht kumuuliza mhusika pengine angebadilika,hiyo ni kuonyesha udhaifu wenu nje tena bidada aangalie huo usije ukatumika...
mkuu inategemea na mtu hali yake iko vp kwa mfano we mwenyewe km c husband material utake wife material wapi na wapi???? tafuta mtu wa type yako mkuu!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.