Recent content by Tonytonio

  1. Tonytonio

    Natafuta Mwenza (Mume)

    Kuna watu wagumu kubadilika mind set aiseh lol
  2. Tonytonio

    Natafuta Mwenza (Mume)

    Hey Cylia! Nini kimekusibu tena kutoka Cylia kwenda Yna2 :)?!
  3. Tonytonio

    Hii siku ya wapendanao nimepooza, nimekubali

    Wala usikubali siku hii ikaharibu ndoa yako kama mzee baba hajakuwish, you just keep doing your things love doesn't just live on 14th feb every year! No offence and happy valentine's day :)!
  4. Tonytonio

    Valentine's day

    Absolutely tusisubiri valentine tu :)! But sijui mwenzangu umesherehekea vipi hii siku ya leo?!
  5. Tonytonio

    Valentine's day

    Happy Valentine's day to you too :)
  6. Tonytonio

    Valentine's day

    That's right natumaini you don't wait every year kuonyesha how much you love them kwenye tarehe 14 mwezi wa pili :)!
  7. Tonytonio

    Valentine's day

    I agree with you aiseh kwasababu mapenzi yanaishi everyday why usibiri every year 14th feb :)!
  8. Tonytonio

    Valentine's day

    Du we mzee baba sidhani kama unafikiria vizuri aiseh unawezeje kulinganisha new year na valentine's day? New year is gift mzee baba think about how many haven't made to 2021?
  9. Tonytonio

    Valentine's day

    Ikikuuliza kama unausafiri toka nduki kaka lol
  10. Tonytonio

    Valentine's day

    Natumaini nyote wazima wa afya na mungu atuepushe na magonjwa yote hatarishi Amen! Wakuu hapa nina swali la kizushi. Yeyote mwenye wazo karibu :)! Kuna umuhimu gani wa kusheherekea siku ya valentine?!
  11. Tonytonio

    Wadada msipende kulamba koni, hamtoolewa kamwe

    Hahaha mbona ndizi unakula! That's the way to play with your bf mic you should take it from there bhana acha kuniaangusha :)!
  12. Tonytonio

    Wadada msipende kulamba koni, hamtoolewa kamwe

    Mkisha kuwa kwa room together ile ni mali yako ati unatakiwa uchukue control kila idala na si wewe daily unaruhusu kuwa wakwanza kushughulikiwa badilika bhana lol
  13. Tonytonio

    Wadada msipende kulamba koni, hamtoolewa kamwe

    A.K.A mkono wa sweta lol
  14. Tonytonio

    Wadada msipende kulamba koni, hamtoolewa kamwe

    Hehe hakuna ajabu nami nilihisi huwezi kumtaja ndo maaana nikauliza au waweza mwaga mtama kwenye kuku wengi :) nakama anazoom humu ndani message yangu ni hii mpe koni mwenzio bhana kwani haina gharama yoyote :)!
  15. Tonytonio

    Wadada msipende kulamba koni, hamtoolewa kamwe

    Hehe pengine siri itavuja na wengine watamjua humu ndani au unamwaga mtama kwenye kuku wengi :)?!
Back
Top Bottom