Recent content by Tony044

  1. T

    PreGE2025 Mbunge Santiel Kirumba: Kila laini ikatwe Tsh. 50 tujenge barabara

    sasa ayo ni matumizi sahihi ya kodi kaka?
  2. T

    PreGE2025 Mbunge Santiel Kirumba: Kila laini ikatwe Tsh. 50 tujenge barabara

    Nilikuwa nataka kulala, ghafla nikaona taarifa kwa Miladiii eti 👇🏽 "Kila laini ikatwe Sh50, kwajili ya matengenezo ya Barabara" Aisee imenibidi niahirishe kulala kwanza 😥🙌🏽.....NIMELIA SANA
  3. T

    Msaada kuhusu kujisahiri Nest ( PPRA)

    Habari za mda huu Wakuu, Naomba kufahamu jinsi ya kujisajiri mfumo wa PPRA na jinsi ya kuomba Tenda , Nahitaji kujisajiri kama Electrical Contractor , Natanguliza Shukrani🙏
  4. T

    Msaada: Mshahara TCAA

    Asante kwa maelezo mazuri mkuu
  5. T

    Msaada: Mshahara TCAA

    Safi kabisa mkuu
  6. T

    Msaada: Mshahara TCAA

    interview uhakika iyo
  7. T

    Msaada: Mshahara TCAA

    sasa mzee unataka niwaze nini apo😀😁
Back
Top Bottom