Recent content by Tony David

  1. T

    Nawezaje kupata michango yangu yote NSSF? Kikwazo 33℅

    Hakuna document yoyote ya level ya elimu ambayo unaambatanisha kupeleka NSSF wadai hua wanawasiliana na muajiri na wanafanya investigation kuhusu level ya elimu. Na mimi ni muhanga wa io 33.3% na niliwauliza maswali kuhusu io na majibu ya jinsi gani wanatambua level ya elimu ya mtu ilinitia...
  2. T

    Nawezaje kupata michango yangu yote NSSF? Kikwazo 33℅

    Ulipata hela zote wakati gani coz io mambo ya 33.3% walianza kuitumia toka tarehe 1 July 2022
  3. T

    Nawezaje kupata michango yangu yote NSSF? Kikwazo 33℅

    Still hawezi kupata zote mzee.. nimelifwatilia hili na kuliulizia kwenye ofisi za NSSF more than twice wanasema hawaangalii kazi uliokua unaifanya wanachoangalia ni level ya elimu yako
  4. T

    Naomba kufahamu juu ya Mafao ya NSSF

    Kwa mujibu wa utaratibu wao kulipwa mafao yako yote hutegemea level yako ya elimu. Kuanzia diploma na kuendelea unatapata 33.3% ya mshahara wako wa mwisho na utapata io hela kila mwisho kwa mwezi kwa miezi isiosidi 6 na Wenye elimu chini ya diploma wanalipwa mafao yao yote hii ni kulingana na...
Back
Top Bottom