Recent content by Tony cruz

  1. Tony cruz

    JamiiForums Tanzania Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Uoga Wetu ndio. ..unao tuponza.....ili suala la Daudi angekua Alisha ondoka zamani ofcn kama ......tunge amua kuingia barabarani na kumpinga kwa umoja Wetu.. ...coz mkulu mwenyewe kasema mambo ya mitandao hayampi shida Dawa n upinzani kuitisha mandamano ya kumpinga Daudi..... Vinginevyo...
  2. Tony cruz

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Kipindi hicho si kili kua cha division....kama cha sasa ukipata zero maana F masomo yote....na Necta uwa hawatengenez cheti cha MTU aliye pata zero....au ikoje wadau...?
  3. Tony cruz

    JamiiForums Tanzania Gazeti Jamhuri: Ridhiwani ndie mtoto wa kigogo kwenye list ya tatu; sasa nae kuchunguzwa

    Hivi Riz one naye ni UKAWA.......?
  4. Tony cruz

    JamiiForums Tanzania Update ya dawa za kulevya zilizokamatwa mbali na msokoto mmoja wa bangi

    Kutokana na chuki na unafiki tulio nao watanzania madawa ya kulevya hayawezi kuisha na kwanza ndio yatashamili, kwasababu wauzaji wakubwa Wa dawa hizi za kulevya wana ushawishi mkubwa kwenye jamii hvyo wanapo guswa hukingiwa kifua na wanufaika wote Wa dawa za kulevya, kama ilivyo tokea sasa...
  5. Tony cruz

    JamiiForums Tanzania Toka Bungeni: Mali mpya za Makonda zatajwa, atakiwa aseme pesa anatoa wapi

    Hakuna watu wajinga kama watanzania sio wasomi wala wananchi Wa kawaida....ndio maana tuna fail kila kitu.... >michezo 0 >uchumi 0 >wasomi vilaza 60% >viwanda 0 Kwa niini...sisi tu fail kila kitu...?? Tatzo: tume kua maskini Wa fikra na kuthubutu .....kupambana.....tunasahau hadi mambo ya...
  6. Tony cruz

    JamiiForums Tanzania Video ambayo haijahaririwa ya Rais Magufuli na Mkalimani wakati akihutubia mkutano wa AU

    Tusipende kufanya mambo kwa chuki ....sasa hapa inonekaena wapinzani MNA fail kwa kusambaza chuki kwa Mr President
  7. Tony cruz

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Magufuli nakushauri ujiuzulu, watanzania msinichukulie vibaya

    Hapakazi tu ! Go magufuli go!
Back
Top Bottom