Recent content by tonicJr

  1. tonicJr

    JamiiForums Tanzania Mbowe achunguzwe kwa vifo vya Daniel John na Aquilina

    Haahaaaa wanatukana tu maana wanataka kumtumia marehemu kama sehemu ya Kuchafua serikali....
  2. tonicJr

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    Kama nyinyi mlivyofanya maandamano bila utaratibu siyo?……
  3. tonicJr

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    Tishia waoga wenzio.....Kwa hiyo kukubali mambo ya chadema ndiyo hekima.....kama ni hekima hiyo wala siitaki..Msimtumie huyo binti kwa Anguko lenu.
  4. tonicJr

    JamiiForums Tanzania DC Kwimba akalia kuti kavu, akataliwa na wananchi

    Ukisikia wasukuma waungwana kuliko wote unaowajua Ni hao jamaa wa hilo eneo
  5. tonicJr

    JamiiForums Tanzania Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

    Kila kitu kina utaratibu wake....mlitegemea mfanye Uvunjifu wa Amani alafu mletewe Biriani au Wali mweupe......!!Haram inalipwa Kwa Haram
  6. tonicJr

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    Hakuna mtu kama huyu nani kathibitisha hiki kifo?wanatupigia picha za Watu wa Zambia huko wanatuletea mitandaoni ili watutie Unyonge.....Tumewagundua huyo Dada ni Wa Zambia Sasa!!Ccm juuuu,Magufuli juu,Makonda Juuuuuuuu....!!Mboe(Mbowe) kifo cha mende........Slaa sweden!!asanteeee
  7. tonicJr

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    Hana Wazazi!?au Ndugu?!Mmebaki tu mnatuimbia nyimbo aquilinaaa aquilinaaa msituchoshe na Maujinga yenu
  8. tonicJr

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    Hahaahaa...yaani hawa jamaa hawana hoja kabisa yaani hapo wamefurahi sana huyo binti kufa kama kafa kweli....
  9. tonicJr

    JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka serikali ya wanaudsm

    Watakuja tena na lile neno" KATEKWA".haaaahaaaahaaaa hizi siasa Ut**O
  10. tonicJr

    JamiiForums Tanzania Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

    Walipewa na nani ruhusa ya kuandamana.....!? Kwendeni zenu msiopenda kuukabili ukweli.eti chadema hawamiliki silaha....
  11. tonicJr

    JamiiForums Tanzania Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

    Mkurugenzi ,Uongozi wa chadema wawajibike kwa hili
  12. tonicJr

    JamiiForums Tanzania Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

    hapa ndiyo tuongee sasa....kama umetambua kuna mapungufu sehemu basi tujadili nini kifanyike ili haya mambo yasipate nafasi tena
  13. tonicJr

    JamiiForums Tanzania Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

    Usijitazame wewe tazama na wengine mkuu....inawezekana ulikuwa na dhamira nzuri kabisa lakini kiusalama haipo rahisi hivyo kama unavyochukulia
  14. tonicJr

    JamiiForums Tanzania Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

    Bahati mbaya ninaowajibu hawaandiki unachokiandika wewe mkuu.....!Wanachofanya ni kuattack bila kujua na wao ni sehemu ya tatizo kama siyo chanzo kabisa!wanachotazama wao ni neno Chadema....Ndiyo maana nadiriki kusema tena bila kutafuna neno Chadema wanafuraha juu ya tukio hili na matukio...
Back
Top Bottom