Recent content by tomlema

  1. T

    Anahitajika mhasibu mwenye uzoefu sekta ya usafirishaji wa mizigo

    Anahitajika mhasibu/accountant wenye uzoefu usiopungua miaka mitatu kwenye sekta ya usafirishaji/transport and logistics. Vigezo awe amehitimu shahada ya kwanza kwenye fani ya uhasibu na pia awe ameshafanya kazi kwenye kampuni yoyote kubwa inayojihusha na usafirishaji wa mizigo kwa muda...
  2. T

    Emergence Loan is highly needed

    Ninaweza kukukopesha. Nichek kwenye inbox yangu
  3. T

    Tipper Semi-trailer mpya inakodishwa

    Nakodisha tipper semi-trailer mpya aina ya Scania. Ni tani 32 maalumu kwaajili ya kupakia kokoto. Inauwezo wa kupakia cubic metre 20. Nakodisha kwa bei ya TShs laki 6 kwa siku. Yoyote aliye interested ani inbox Wasalaamu
  4. T

    Bot wameshaita watu kwenye ajira

    Kaka Bot wameshaita watu...waliita tarehe 21/05/2012 kwa ile post ya Economist (Monetary)
Back
Top Bottom