Anae jihaibisha ni ww unaye ishia kumwandika mtu ambaye hujuh hata anafkria nn, We nan kumwambia apmzike siasa??kila mtu na malengo yake na ndoto zake, je akipumzika siasa ndo kashifa zinapaa mbinguni au
Tume yetu inategemewa sana na chama xxx ili kufunga bao la mkono Ila mwaka huu haitawezekana maana wananchi wamekua kisiasa na wameondoa woga uliokuwa ukiwasumbua mbaka kupelekea kubatirisha walicho kiamua so jipange as tuko tayar kwa lolote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.