sawa mkuu kwa jinsi nilivyo kuelewa unamaanisha hawa wote A&B wana makosa siyo,
na wanawajibika na kumtibia mgojwa siyo,
bila wao kutengenezewa vyombo vyao na bima makampuni ya bima zao,
na mgonjwa baada ya kuwa kapona wanapashwa kumlipa fidia siyo
Habari wana JF,
Naomba msaada kueleweshwa juu ya jambo hili kuna ajali iliyo husisha bajaji 2 za kubeba abiria moja ikiwa inatokea upande A na nyingine upande B, zilipokuwa zimesogeleana kupishana iliyo kuwa ikitoka upande B ikapata ajali ya kugonga punda na kumrusha mpaka upande wa pili wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.