Licha ya ukubwa wa stendi ya Magufuli Mbezi na kuwa imejengwa miaka ya hivi karibuni jambo ambalo lingeifanya iwe stendi ya kisasa bado nimegundua hakuna kabisa maeneo maalumu kwaajili ya abiria kusubiri mabasi.
Tunaelekezwa tufike stendi saa moja au angalau nusu saa kabla ya safari kuanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.