Hilo mi nalijua mda mrefu sana, mi nilishajenga mpaka nyumba kwa ajiri ya mwanamke ila nikaona Hawa Viumbe ni mashetani na usiwekeze Akili yako na Pesa yako kwa mwanamke utajuta sana, mwanamke haeleweki anataka Nini pia wanawake ni mashetani pia ni Nyoka 100%.
Hata Ufanye nn kwa mwanamke...
Mi Toka nizawaliwe mpka sasa hivi Nina itafuta 50 sijawai kuonana mtu ananipenda au anapeda mtu mwingine.
Mi naona Hawa Binadamu wanapenda Kuhudumiwa+ Pesa na uwe ATM machine na Romantic....
"Binadamu anaamini Ukimpa pesa ndo Unampenda"
Ila kiuhalisia Unakua umemnunua indirect seles, na wapo wanaouza Direct sales.
Kwa ufupi Wote Wanauza ila wametofautina style ya kuuza tu.
Kwa Hivi Sasa katika Jamii kumekua na maongezi au Maneno mengi kuhusu wanawake kuitaji Kuhudumiwa.
Kijamii za kiafrika, mwanaume napaswa kuihudumia Familia yako.
Na mwanaume unatakiwa kutoa mahari ya kuoa mke na kumtunza/ Kuhudumia.
Kwa sasa Hivi Vijana Wengi wanapitia katika hali mbaya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.