Recent content by TJF1990

  1. TJF1990

    Kwani Polepole anapigania nini hasa?

    Kuna haja ya kutoa macho mawili kabisa kwa huyu mtu ambaye kuibuka kwake kipindi hiki kunatia shaka sana kwa watu wa haki. Polepole hajasikika kabisa akigusia matatizo ya watanzania kabisa. Kila mikutano anayofanya amekuwa analia na chama peke yake. Je, anataka kupata nini kwenye kilio chake...
  2. TJF1990

    Mazaa hawezi kusimama mbele ya Gwajima na akashinda . Never, niko pale mniite Zuchu akishinda

    Huwezi kumlinganisha Gwajima na Samia hata siku moja. Hadi sasa hakuna hata hoja moja ya Gwajima iliyojibiwa. Maneno ya Samia leo yameonyesha uwazi Ipo siku ukweli wote utakuwa wazi!
  3. TJF1990

    PreGE2025 Tafakuri ya kisiasa na kijasusi; Majibu ya kitoto kwa hoja nzito za Askofu Gwajima

    Na: Mwananchi Mzalendo Tarehe: 27 Mei 2025 Siku ya Jumamosi ya wiki iliyopita (24 May 2025), Askofu Josephat Gwajima—Mbunge wa Kawe na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM—alizungumza na waandishi wa habari na kutoa kauli nzito juu ya matukio ya utekaji yanayoendelea kushamiri nchini. Kwa maudhui...
  4. TJF1990

    Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Furaha hafai kabisa kuwa kiongozi
  5. TJF1990

    Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

    Huyu huyu Gwajima aliyezunguka nchi nzima anasema Samia Hoye ndio agombee 2025? Yamkini Gwajima anataka kugombea kweli; ila siamini kuwa atagombea 2025. Kuna kitu cha kukiangalia sana kwenye hili; Gwajima na Samia lao ni moja!
  6. TJF1990

    Askofu Gwajima akabidhi ambulance mpya Kawe

    Gwajima ni mtu na nusu wanakawe tunamkibali sana
Back
Top Bottom