Recent content by titanic 7

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Oyyy bigboi tuma codes hali ni mbaya sana humu sijui ulipoteleaga wapi.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Uwe unatuwekea na code.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndio nini hiki ulichoandika???duuh ila kanji hadi watu tunaandika visivyoeleweka.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha umasikini kwa vijana wengi si wanawake ni kamari( betting)

    9 Mengi yamesemwa ila kamari duuh ni balaa sana
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kimya sana humu naona wakamaria tupo bize tunaandaa mashamba kwa ajili ya elnino maana wiki iliyopita kanji katupa kipigo cha mbwa koko.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mikeka 10 yote imechanika 7 nimechukua huku mitatu nimetunga mwenyewe duuuh kesho ngoja nikanunue jembe ili mvua za Elnino zisinipite.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huyu jamaa mimi naenda nae bampa tu bampa hadi tuone validity ya alichokua anakisema.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    T yani kanji anatandika balaa
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bet lost.......leo tupo mkeka wa 4 na umelost so hadi sasa profit made=0
  10. T

    JamiiForums Tanzania Member wa Clubs kama Dar Yatch Club au Gymkhana wanajiona wamejipata sana

    Dr Matola PhD hivi hizi clubs zina nini cha ziada apart from michezo na starehe nyingine hadi watu kama huyu jamaa analilia kupata membership????.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tufanye trial 30..........sasa hivi trial 3 tayari zimebaki trials 27 baada ya hapa ndio tutakuja na conclusion nzuri.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yes leo zimetoa umepata mbili umepoteza moja zoezi bado linaendelea.....nataka nione trend itakavyokua.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kupata mara mbili haimaanishi ni rahisi bado tunaendelea na zoezi kesho pia tuma.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wewe weka kuna watu tunakufuatilia nataka nione mwisho wako itakuaje maana hata ukipata tu kwa 99% tutakua tumekuza mtaji parefu sana.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimeshastake tayari ngoja tuusubiri.
Back
Top Bottom