Recent content by Tish

  1. Tish

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inaweza ikawa tofauti Mimi nampa SOUTH AFRICA TO QUALIFY & CONGO DR TO QUALIFY japo wengi wameweka Kama wewe
  2. Tish

    JamiiForums Tanzania Msaada X App

    Asiee hujasoma alichoandika vizuri hata yeye ni team tecno Kama wewe
  3. Tish

    JamiiForums Tanzania Msaada X App

    Baki nahiyo version iliyopo sio lazima ku update mi natumia android 6 sija update na inafanya kazi vizuri tu
  4. Tish

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pamoja[emoji120]
  5. Tish

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Habari kiongozi kazi zako telegram ziko vizuri sana ila ningeomba uweke timu chache za uhakika zaidi kuliko over 10 match unakuta hakosekani mmoja wa kuchana nashukuru wa basketball [emoji459] nilikua team chache zimetiki
  6. Tish

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndio kiongozi
  7. Tish

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asante sana
  8. Tish

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nisaidie jinsi ya kuweka booking code helabet account ninayo tayari
  9. Tish

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Vip helabet Ikoje Kwa user mliotumia
  10. Tish

    JamiiForums Tanzania Nafundisha Programming kwa bei nzuri

    [emoji106]
  11. Tish

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndo hiyo wao wanafanya kwa mfumo tofauti kidogo ila uki deposit inakubali hamna shida
  12. Tish

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ukisha fungua akaunti ingia kwenye deposit wanafanya miamala kampuni zote za simu tz ila katika ku deposit mfano umeweka 1000 Kuna sehemu wanakuambia uweke email hasa kwenye mpesa na jina lako la mwanzo ukishafanya hivyo una deposit kama kampuni zingine
  13. Tish

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ni wakweli.
  14. Tish

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Haina mawazo last game alipata 1.5 away hivyo Leo itakuwa ushindani kwa sababu ndo match yakuamua nani aende mbele lakini 1.5 full time haikosekani
  15. Tish

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    1.5 best option
Back
Top Bottom