Habarini wana JF
Samahanini waungwana naomba kuuliza kata ya Yombo Vituka ipo wilaya gani na jimbo gani yaani kati ya jimbo la Temeke na Mbagala na je naweza pata hata mitaa miwili ya kata ya Yombo Vituka?
Ndo katiba ya JMT inasema mtu kabla ya kusomewa mashitaka na kukubali akamatwe hvyo kwa vurugu eti?? Kama adi apo tayari hakuna haki unasemaje itafuatwa....
Heshima zenu waungwana wa JF.
Natumaini wote ni wazima..Leo nimekuja na swali kidogo kwa wenye ujuzi nalo mimi nimekuwa nikikutwa na tatzo la ganzi mkono wa kulia kila nikitoka kulala pale ninapoamka mkono unakuwa umekufa ganzi alafu unauma yani unakuwa mzito sielewi tatizo ni nini wana JF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.