Recent content by tiny madin

  1. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha

    Aise umenikumbusha Mabali sana ile move
  2. T

    JamiiForums Tanzania Silaha, Makombora na Vifaa vya Kijeshi Zaidi ya 85,000 vya Hezbollah Vimetwaliwa na Jeshi la Israel IDF Kusini mwa Lebanon

    Wa bongo tukipenda kitu ata uharisia hatuwezi kuukubali Kabisa
  3. T

    JamiiForums Tanzania Namkumbuka Saddam Hussein na Muamar Ghadaf. Walikuwa Mashujaa kweli kweli

    Kufa au kupona unachagua nn?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Shirika la haki za binadamu la Amnesty International latoa ripoti kuwa Israel inafanya Genocide huko Gaza

    Ivi kwanini jamii ya kiafrica aijikubali ifike wakati wazungu pamoja na waarabu wasiwe nanafasi ya ubora kwenye maisha yetu we only live once tupunguze shobo na ngonzi nyeupe
  5. T

    JamiiForums Tanzania Shirika la haki za binadamu la Amnesty International latoa ripoti kuwa Israel inafanya Genocide huko Gaza

    Tatizo ni maafa ya wanaoishi apo Gaza watoto wazee wanakosa maji na chakula Kwa ajili ya mateka 97 kweli?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Shirika la haki za binadamu la Amnesty International latoa ripoti kuwa Israel inafanya Genocide huko Gaza

    Kwan kuwarudisha ao mateka kuna gharama gani Kwa lugha nyepesi wanapenda wao wenyewe kuteseka
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mateka wa Israel watapatikana leo

    Ata kama wameshidwa Kuwaokoa unazani nikiasi gani ao jama wamefeli pakubwa Kwa plan iliyoghalimu vifo zaidi ya watu elfu40 pamoja na viongozi wao Kwa watu ambao hawazidi 300
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mateka wa Israel watapatikana leo

    Mi naona niujinga tu unashikilia mateka afu viongozi wako na askari wanakufa miji inabomolewa hezbollah na Hamas waache ujinga wanatesa watu wa sio na hatia Asa wa mama na watoto
  9. T

    JamiiForums Tanzania Video: Angalia wanachofanyiwa Wanajeshi wa Israel na Hezbollah

    Ivo mzee machine ukipewa unaweza kuitumia kweli?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hezbolloh hawaongei sana wao ni vitendo tu

    Uko sawa kabisa tena Kwa hawa hezbollah ata sijui ni kitu gani kiliwaingiza kwenye hii vita
  11. T

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa Israel unakuzwa sana

    Kwakuangalia wewe unaona watu gani wamepoteza kwenye hii Vita? jamani wanaokufa ni binadamu kama sisi tupendane na tusaminiane dini utaifa tumeukuta na kuuacha ila pumzi ni bora kwa kila mwenye uhai
  12. T

    JamiiForums Tanzania Israel yamkamata mwandishi wa kimarekani kwa kuripoti juu ya makombora ya Iran

    Nchi Yao yenyewe ndogo hawawezi pigana vita zaidi ya vine kwa wakati mmoja naisi wakitoka Lebanon’ ndio wataingia Iran
  13. T

    JamiiForums Tanzania Israel inasema Imetengeneza mwanya wa kufungua mlango wa mabadiliko Mashariki ya Kati

    Chanzo cha vita yao ni nini haswa maana myahudi yeye anauwa viongozi Kwa sana miaka na miaka
Back
Top Bottom