Recent content by Tinoo

  1. T

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya vichaa: Wanakula vichafu lakini hawaumwi

    Ila na wewe akili zako zilishayumba, kwani hivyo unavyoviita najisi havitupwi jalalani?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume zilinde 'Shahawa' zako, huo ndo uhai wako

    Ngoja kwanza kidogo
  3. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya Mahusiano ianze kutolewa shuleni

    Wazo zuri mkuu
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ngoma Inogile: Wapangaji sasa kulipa asilimia 10 ya kodi TRA

    yajayo yanafurahisha
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ngoma Inogile: Wapangaji sasa kulipa asilimia 10 ya kodi TRA

    Naona kama kuna mtu anatuamsha watz ila sisi hatutaki kuamka tunabaki kulalamika
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa TCRA: DStv wanarusha vipindi vya kuhamasisha ushoga kwa watoto?

    Saivi wanapigia debe sana suala la mahusiano ya mapenzi ya jinsia moja, nashindwa kuelewa ni hao mashoga au kuna watu wananufaika na hilo. Movie za kizungu nazo ndo hazifai kuangalia tena
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ukitaka mwanaume sasa hivi ili akukubali lazima utoe kiingilio

    Kumbe wanawake wa Dar wanatoa pesa kwa wanaume
  8. T

    JamiiForums Tanzania Maisha haya aisee, jana ilikuwa harusi leo imekuwa msiba

    Utofauti hapo ni kwamba sherehe ina maandalizi ila kifo hakina maandalizi, kifo ni muda wowote ila sherehe utapanga siku. Inauma lakini ndo inakua imeshatokea, hakuna namna.
Back
Top Bottom