Recent content by Tinnvibez

  1. Tinnvibez

    Payoneer account verification

    Yeah!! Mi ni producer mkuu
  2. Tinnvibez

    Payoneer account verification

    Lease contract ndio kwa mwenye nyumba si ndiyo??? Sorry pia nna shida kujua address namba huwa inatakiwa zijazwe namba zipi maana nimenunua gas bill kuna group telegram la Grey kaniuzia ila haina address namba. Shukran in advance 😇
  3. Tinnvibez

    Payoneer account verification

    Shukran sana japo nishajaribu nunua gas bill nimewatumia juzi huwa wanajibu ndani wa 24hrs kwa previous documents nilizo-upload kwao japo zili-fail ila hii naona imechelewa maybe tuone wanaweza wakawa wame-approve. Pia nina shida na address namba pale nazipata wapi???
  4. Tinnvibez

    Payoneer account verification

    Habari, Bila shaka uko poa. Mimi ni Freelancer na nauza mziki wangu kwenye majukwaa mengi ya kimuziki. Nimejiunga na Payoneer NIDA na kila kitu kimekubali shida kwenye Utility au Bank Statement. Nishafanya ku-upload Bank Statement, utility ili wa-verify address wanavosema ila inakaa. Nikawa...
  5. Tinnvibez

    Matangazo ya biashara ya Kariakoo yanarekodiwa na mtu mmoja?

    Mi ni music producer kukutengenezea tangazo ni kitu chepesi mno. Tuwasiliane humu tuweze fanikisha jambo lako 0716183144
  6. Tinnvibez

    A-Z Jinsi ya kupata pesa kupitia chaneli ya YouTube

    Shukran kwa elimu. Nimejatibu fuata process nimeona kama sijakupata. Mi nna 624 Subscribers pia views 1000 nishazipita shida kwenye kuunganisha. Kwenye app wanadai uwe na 1000 subscribers pia uwe na masaa 4000 ambayo ushatizamwa Youtube. Naomba kueleweshwa zaidi ukute nimekaa na pesa hapa...
Back
Top Bottom