Recent content by tinkibiruka mhaya

  1. T

    JamiiForums Tanzania Huyu Dogo naye rasmi kwa wajenzi huru!

    Nimempenda huyo kaka mwenye shati sijui suti nyeusi,waungwana nisaidieni awe shemeji yenu
  2. T

    JamiiForums Tanzania Msisubiri mpaka huyu kijana afe ndio mumpe maua yake

    Libebe,Halafu kuna ule kama bonge la boya nimetulizana kwenye kiota changu hizi nyimbo nazipenda sana
  3. T

    JamiiForums Tanzania Shakira alianza kushtuka Pique alikuwa anamcheat sababu ya Jam kwenye fridge

    Yaani uvumilie uchafu wa boxer man uzinzi juu
  4. T

    JamiiForums Tanzania Couple hizi zitavunjika

    Halafu ukikiangalia unaweza sema is very innocent kumbe kilipua mabomu
  5. T

    JamiiForums Tanzania Couple hizi zitavunjika

    Yaani kiukweli nawapenda sana hawa watu
  6. T

    JamiiForums Tanzania Shakira alianza kushtuka Pique alikuwa anamcheat sababu ya Jam kwenye fridge

    Yaani wananikwaza mimi hawa kina Abdallah boxer chafu uzinzi wanavyouhalalisha kama jambo la kheri vile
  7. T

    JamiiForums Tanzania Shakira alianza kushtuka Pique alikuwa anamcheat sababu ya Jam kwenye fridge

    😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆mkuu nini kimekuvuruga
  8. T

    JamiiForums Tanzania Jumba la Tajiri Bakhresa lililopo Fumba Town

    Asante mkuu
  9. T

    JamiiForums Tanzania Jamani yupo wapi "First Lady" Josephine Mushumbushi (Mrs Dr Slaa)

    yupo Canada,kwa maelezo zaidi nenda hapo kwao kiloleli kaonane na mama yake Bibi Mushumbusi
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto ana ugomvi gani na viatu?

    Mtu asiyevaa viatu miguu yake iwe misafi hivyo
  11. T

    JamiiForums Tanzania Zamani mavazi yalitambulisha jinsia (Wanawake haswa)

    😂😂😂😂mbona aunt muddy
  12. T

    JamiiForums Tanzania Watoto wa kiume wa Anorld Schwazzeneger

    😂😂😂😂😂😂😂tusekelege tena
  13. T

    JamiiForums Tanzania Zamani mavazi yalitambulisha jinsia (Wanawake haswa)

    Wanaume wapi unawazungumzia labda nyie wapiga mizinga,?most of you mnadharaulika sababu hamjitambui,mmewaachia majukumu wake zenu wafanye sasa kwa nini asikugeuze mke na yeye awe mwanaume si umetaka kulelewa bhana we kula mema ya nchi acha mkeo akakutafutie
  14. T

    JamiiForums Tanzania Zamani mavazi yalitambulisha jinsia (Wanawake haswa)

    Tumekaa dira tuliwahi kuja kukuomba msaada kwamba tumepotea?since when where?kila mtu ana mahangaiko ya maisha Kila mtu anamvurigiko wa siku sio mwanaume sio mwanamke sasa tukisema Kila mtu alete humu mzee tutatafutana narudia tena komaa na jinamizi lako kama halikuheshimu ni lenyewe na...
Back
Top Bottom