Recent content by Tingwa

  1. T

    Fundi:Meza ya kioo kilichovunjika.

    Vipi ulipata suluhisho, ninaface the same problem, Tafadhali kama ulipata suluhisho nijuze
  2. T

    Hivi ni kweli Mtumishi wa Serikali mfano Mwanajeshi akifariki mshahara wake unaendelea kuingia?

    Inakuwaje hii? Mwanajeshi akifa considered kasitisha mkataba? Vipi kuhusu Mafao yake?
  3. T

    Jicho la Pili: Mazungumzo ya Kinana na Nape ni ya kawaida tu

    Nasubiri siku Musiba atakavyo mnanga Bashite sijui kama itatokea. kama familia moja vile, najiwazia tu Alimnanga kuhusu Makaontena umesahau? Alimpa makavu live kabla ya Mkuu kumchana wakati kuhutubia kutokea Chato.
  4. T

    Musiba: Vodacom ilikuwa mali ya CCM mafisadi wakaipora, Nape kauza mitambo ya tv ya CCM, Mbowe anapoteza wanaohoji ruzuku

    mambo mengine ni aibu hata kutamka, unawezaje kusema Mandela aliipa CCM kampuni ya VodaCom. Jamaa anauelewa mdogo sana
Back
Top Bottom