wapendwa wanablog, naomba msaada wenu,
Kuna shost yangu kakutwa na jambo hili wadau mnashaurije?
Huyu shost wangu alikuwa na jamaa yake, but with time, penzi lao likawa linayoyoma. Jamaa yake alikuwa na mkewe ila akamficha huyu kimada wake, huku huyu wa nje akijua anaolewa. Jamaa alikuwa akimpa...