Recent content by tindojembe

  1. T

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Propaganda kama hizi ndio nasema. Miji kama Mariupol ilitekwa lakini lazima Ukraine itajaribu kuficha ukweli kwa kukana. Lazima pande zote zitadanganya ili kuficha loses. Lazima ufanye utafiti wa ndani sana na ukiwa makini ndipo upate ukweli.
  2. T

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Wewe ulisikia wapi? Wale wanajeshi wa Ukraine waliojisalmisha Mariupol unaona kama ulikuwa mchezo?
  3. T

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kuna propaganda nyingi sana. Pande zote (Ukraine &Russia) waongo. Usiamini chochote unachoona mtandaoni! Mimi nli-block Youtube channel zote za vita hivi.
  4. T

    Kwanini waafrika siyo wabaguzi?

    Watu weusi tuna shida nyinyi sana. Moja wapo ni internalized inferiority complex ambapo huwa tunawaona watu wa nje kama wako juu kutushinda. Mtu mwuesi anamdhamini Mchina/Mzungu/Mwanarabu kuliko mtu weusi mwenzake. Ndio maana mtu mweusi akiwa na mwanamke mzungu/mwarabu atajiona bwingwa na pia...
  5. T

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Nimeona kuna wengi humu wenye akili butu. Hizi ndio voting patterns za last elections za Ukraine. Kama nchi yenu haina shida na ethnicity well and good. Lakini maeneo mengine ethnicity ndio kila kitu,especially the Balkans and former soviet countries. Kusema mambo ya ethnicity yamepitwa na...
  6. T

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Hivi umeketi ukajiuliza wakaazi wa Crimea wanatakaje? Wenyewe walipiga kura kwa 2014 2014 referendum wakaamua kujitenga. Kama unavyona kwenye ramani, wakaazi wa Crimea na magharibi mwa Ukraine wote ni ethnic Russians, na wamekuwa wakinyanyaswa na ethnic Ukranians.
Back
Top Bottom