Recent content by tindetz

  1. T

    Tetesi: Wilson Nkambaku anafuata baada ya Nyalandu kuondoka CCM!

    Tatizo lenu ni kuamini kila uongo mnaosikia!
  2. T

    Tetesi: Wilson Nkambaku anafuata baada ya Nyalandu kuondoka CCM!

    Sio bure! Huyu jamaa inawezekana analipwa kutunga maneno ya uongo!
  3. T

    Tetesi: Wilson Nkambaku anafuata baada ya Nyalandu kuondoka CCM!

    Watanzania tukiacha kufanya kazi na kufuata umbea na uzushi, hatutaweza kuyafikia malengo ya mafanikio. Huyu aliteandika haya ni muongo kabisa. Ameandika mambo aliyojisikia kutunga kumchafua mtu asiyemjua. Nkhambaku na Lazaro sio marafiki ni watu wanaofahamiana tu. Nkhambaku hana mpango wala...
  4. T

    Kwanini UKAWA itashindwa vibaya?

    kWA WENYE KUFIKIRI WAMESHAELEWA NIA YA UKAWA SIO KULIKOMBOA TAIFA HILI, BALI NI KUINGIA IKULU TU! WAKAFANYE NINI? WANAJUA WENYEWE WAKITAKACHO. CHAGUA CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA :high5:
  5. T

    Nimewakubali viongozi wa UKAWA! Kwa ujanja huu wanastahili pongezi

    Magufuli juu! Ukawa jiandaeni kusambaratika 0ctober! Na masipoangalia mtapitwa kura na act mwaka huu! Hahaaa!
  6. T

    CHADEMA kwa Usahaulifu Wamekubuhu

    Tatizo la wana ukawa ni kutokubali ukweli. Kwenu ni kitu kinachowatetea ndio sahihi hata kama mnapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa! Tusubiri october 26 tuone sura za watu zitakuwaje!
  7. T

    CCM imepitisha wagombea wenye madoa kama Chenge & Tiba, Polepole apite nchi nzima kuipinga

    Alizungumzia nafasi ya Uraisi, na CCM haijapitisha Fisadi kugombea Uraisi.
Back
Top Bottom