Kama huwezi kujenga hoja nia afadhali uache maana "Serikali ilipelekewa msg na Namba ya simu aliyotishiwa nayo saa8, kwanini hawaja mkamata au ndiyo sawa na aliye mtishia Nappe maana naye sio Polisi ila ni .....?"
Kwahiyo POLISI na TIS wameshindwa kuwakamata chadema kama kweli ndiyo wanaohusika? Je Siwalipelekewa Namba na Mh. Lisu kuhusu mshukiwa No1?
Au tunajisahaulisha ili kurushia Madongo CDM? Tuwe wakweli Serikali inajua kinacho endelea.
Kwanini unatafuta majibu ya kujihami? kama ni chadema tunataka polisi watuambie na kama ni mtu mwingine vilevile polisi watuambie. Polisi ni jukumu lao hilo, ILA KWA JINSI UNAVYO TETEA inaonekana kuna kitu hapo.
Huwezi ficha moto kwa karatasi la plastiki. You know for sure nani moto utachoma tu hilo plastiki. Polisi wakiwa wapi Mbowe na Lwakatare wafanye hivyo? Namba ya simu wamepewa, sasa wana fikiri tutoke vipi maana tu uchi.
Kwahiyo hujui kwanini watu wanataka polisi watoe taarifa? au ndio namna ya kuomba upewe cheo? maana serikali inakitengo cha polisi kwaajili hiyo, sasa wewe uking'ang'ania mbowe atueleze, kama ni yeye kafanya hivyo hatasema mpaka vyombo husika kama polisi wa mhoji lakini yote kwa yote polisi ni...
Tundu Lisu ni mwana siasa na mwana sheria, anajua lugha ya kisheria na lugha ya siasa ndio maana hana wasiwasi, ila mwenzangu na mimi unatokwa na maneno ya ziada kwani vipi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.