NIMERIDHISHWA NA AJIBU YA MH. MBOWE JUU YA KUPOTEA KWA SAANANE!

cantonna

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
1,111
1,500
Kweli kutokana na majibu ya mh. mbowe nimeamin kuwa cdm ni taasisi yenye utulivu mkubwa sana ktk masuala nyeti kama haya! kila mtu alikuwa anataka kila kiongoz atoe taarifa juu ya kupotea kwa ben na wengi kuhoji why mbowe yupo kimya? kumbe chama kina watu wake wa kutoa taarifa na si kila taarifa lazima itolewe na mwenyekiti. jana mwenyekiti wetu katoa majibu mafupi na yenye maana kwan hakuwapa kabisa watesi wetu kujua hatua tuliyofikia juu ya ndugu yetu ben!
 
Tinda

Senior Member
Sep 11, 2012
197
195

Ili kujua nani kafanya haya sikiliza kwa wahusika utajua muda si mrefu, maana nao wapo kazini na ni jukumu lao la kikatiba. Vilevile.
 
Winston Mtanzania

JF-Expert Member
Mar 27, 2014
340
225
Utaridhikaje ilhali mtu hajapatikana? Huo ndo ujuha wenyewe!
Mtu huridhika au kutoridhika kwa mujibu wa matashi yake binafsi kulingana na hali. Sasa ujuha ni kutaka ukiridhika wewe, wote waridhike na usiporidhika wewe wote wasiridhike. Weka bandiko lenye hoja bila vihoja na jazba. Aliyepotea hatafutwi kwa maneno bali mipango na mikakati ambayo si sawa kuianika hadharani maana kwa kufanya hivyo wahusika wa upotevu watajua mbinu.
 
JFK wabongo

JF-Expert Member
Aug 11, 2015
3,723
2,000
Mtu huridhika au kutoridhika kwa mujibu wa matashi yake binafsi kulingana na hali. Sasa ujuha ni kutaka ukiridhika wewe, wote waridhike na usiporidhika wewe wote wasiridhike. Weka bandiko lenye hoja bila vihoja na jazba. Aliyepotea hatafutwi kwa maneno bali mipango na mikakati ambayo si sawa kuianika hadharani maana kwa kufanya hivyo wahusika wa upotevu watajua mbinu.
Kwa hiyo unaona ni sahihi mbowe kwe

Kwa nini una-exclude chadema miongoni mwa watuhumiwa? Ikumbukwe chadema ndo walipublish habari za kwamba Ben yuko South Africa, japo walizifuta baadae. Kwa mtu makini hupaswi kushangilia kauli za mtu kwenda kusherehekea Christmas halafu ndo aje kumtafuta Ben.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom