yote hayo tumwachie mwenyezi Mungu kama ambavyo hata yeye juzi alivyosema wakati wabunge wa 150 wa CCM wakimwomba agombee urais. just ainyooshe nchi kwani imepinda
ndio maana hapo juu kuna sifa kubwa na ya msingi ambayo kama taifa leo hii tumeikosa (maamuzi magumu) katika kutatua kero na kukidhi kiu yetu ya kuona uwajibikaji unakuwepo. kafanya hivyo kwa vitendo
hana cha kupoteza huyo mh, anasubiri tu kuapishwa. siku moja jaribu pita kwenye vijiwe vya madereva tax au bodaboda ndo utajua jamaa anakubalika na makundi yote hadi wapinzani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.