Recent content by Timiza

  1. T

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

    Ukizijua kanuni za dunia utopata tabu kuishi,kesho yako inajengwa Leo,watatamani waifute historia aifutiki,tukiwa wakubwa sasa utotoni tulifanya mengi ya kijinga ya utoto.Kila mwanadamu utengeneza anguko lake mwenyewe
  2. T

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

    Washamba wamekuja na staili ya kutafuta password,yule Mzee wanampa kazi nzito sana ya kusema tunachunguza kajiteka na pafumu akabeba.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

    Kuja mji mapema ni shule tosha,
  4. T

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

    History aikimbiwi siku hazigandi,
  5. T

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

    Watu walioelimika ustaarabika awafanyi mambo ya kishamba watalimia meno washamba uacha ushahidi wa wa wazi wako uchi japo wamevaa nguo.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

    Akipatikana atakutana na kesi ya kujiteka.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana ukawa mwanaCCM na ukawa Mchamungu wa kweli?

    Hao ni watu wamotoni,
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana ukawa mwanaCCM na ukawa Mchamungu wa kweli?

    Haiwwezakani zaidi ya kuwajazia mabenchi wengine
  9. T

    JamiiForums Tanzania Waliguswa wafanyakazi wakaa kimya wakaja wanasiasa wakaa kimya, wafanyabiashara wakawa kimyaa. Sasa zamu yao viongozi wa dini.

    Copy and paste ila yote ni kuukimbiza upepo, hakuna aliyefaulu kushindana na dunia.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Waliguswa wafanyakazi wakaa kimya wakaja wanasiasa wakaa kimya, wafanyabiashara wakawa kimyaa. Sasa zamu yao viongozi wa dini.

    Asili ya nyoka ni kugonga, hata wajionao Salama wana kula juu ya meza wajitafakari
  11. T

    JamiiForums Tanzania Muuaji wa Sokoine, Ndugu Dube yupo wapi? kwanini hajafungwa baada ya mauaji yale

    Wale walifanya kisayansi zaidi Bila kuacha ushahidi wa sasa wameacha ushahidi pa kuanzia
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini uchaguzi wa Jimbo la Singida Mashariki ufanyike haraka haraka kinyume cha Katiba ya nchi?

    Wamefanya hivo ili kabla ajarudi kufungua kesi tyr wawe na MTU wao na mahakama itapiga danadana hadi uchaguzi mkuu 2020 ufike. Wamehofia kukutana macho bungeni na MTU waliyemtakia mabaya, moyo umeumbwa na aibu
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hapa ni Gbadolite, Kijijini kwa dikiteta Mobutu Sesseko Kuku Wazabanga, nyumba zimegeuka Magofu na mahame

    Ubinafsi ni silka ya Blackman,sababu ya ukosefu wa exposure na elimu,wenzetu utanguliza jamii kwanza.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hapa ni Gbadolite, Kijijini kwa dikiteta Mobutu Sesseko Kuku Wazabanga, nyumba zimegeuka Magofu na mahame

    Nchi masikini msafara GAri 50 yote gharama ya kodi zetu,nchi tajiri zitupazo misaada hata GAri 10 Kwa mbinde kupata.
Back
Top Bottom