Waliguswa wafanyakazi wakaa kimya wakaja wanasiasa wakaa kimya, wafanyabiashara wakawa kimyaa. Sasa zamu yao viongozi wa dini.

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Tulipokuwa tukishughulikiwa wanasiasa nyie viongozi wa dini mlijitenga kanakwamba nyie hayawahusu, mchezo ni uleule kama walivyojitenga wanahabari kisha wakashughulikiwa, wakajitenga wafanyabiashara kisha wakashughulikiwa,

Na sasa ni zamu ya eneo hili la kiroho kushughulikiwa kikamilifu, tena nyie mmepigwa pacha, kwanza ni ngoma ya marufuku ya makelele ya kwaya na azana, kisha kodi ya milioni kumi kwa mwaka kila mpiga kelele, na ukipiga kelele faini ya milioni kumi. Na sasa ni uhakiki wa taasisi zenu.

Baba Magu kazi uzi, nafikiri ipigwe marufuku kuongoza taasisi ya kidini, kanisa, msikiti na kujiita mchungaji, nabii, kuhahani, shehe, maalimu, imamu nk bila kuwa na elimu ngazi ya shahada moja na kuendelea.

Mbona mtanyooka na kuwa kama moja dadeki. CCM hapo hapo msilegeze hadi waimbe nyimbo ya "Usinipite Jiwe, usinipiteee, unapodhuru wengine, usinipiteee x 2".

Na Yeriko Nyerere
FB_IMG_1562476525234.jpg
 
Waanze kuimba nyimbo za kumsifia na kumhubiria mazuri ya kumsifia na kumuombea atatulia tu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tulipokuwa tukishughulikiwa wanasiasa nyie viongozi wa dini mlijitenga kanakwamba nyie hayawahusu, mchezo ni uleule kama walivyojitenga wanahabari kisha wakashughulikiwa, wakajitenga wafanyabiashara kisha wakashughulikiwa,

Na sasa ni zamu ya eneo hili la kiroho kushughulikiwa kikamilifu, tena nyie mmepigwa pacha, kwanza ni ngoma ya marufuku ya makelele ya kwaya na azana, kisha kodi ya milioni kumi kwa mwaka kila mpiga kelele, na ukipiga kelele faini ya milioni kumi. Na sasa ni uhakiki wa taasisi zenu.

Baba Magu kazi uzi, nafikiri ipigwe marufuku kuongoza taasisi ya kidini, kanisa, msikiti na kujiita mchungaji, nabii, kuhahani, shehe, maalimu, imamu nk bila kuwa na elimu ngazi ya shahada moja na kuendelea.

Mbona mtanyooka na kuwa kama moja dadeki. CCM hapo hapo msilegeze hadi waimbe nyimbo ya "Usinipite Jiwe, usinipiteee, unapodhuru wengine, usinipiteee x 2".

Na Yeriko NyerereView attachment 1148473
Hii ni nchi na ina taratibu zake. Usalama ni jambo la msingi kwa nchi yoyote. Si kila taasisi inayojiita ya kidini inafanya kazi za kidini, nyingine dini ni kivuli tu. Kama inafanya shughuli za dini wasiwasi wa nini?
Lakini hata makelele yana kiwango chake. Yakizidi ni vurugu.
 
Tulipokuwa tukishughulikiwa wanasiasa nyie viongozi wa dini mlijitenga kanakwamba nyie hayawahusu, mchezo ni uleule kama walivyojitenga wanahabari kisha wakashughulikiwa, wakajitenga wafanyabiashara kisha wakashughulikiwa,

Na sasa ni zamu ya eneo hili la kiroho kushughulikiwa kikamilifu, tena nyie mmepigwa pacha, kwanza ni ngoma ya marufuku ya makelele ya kwaya na azana, kisha kodi ya milioni kumi kwa mwaka kila mpiga kelele, na ukipiga kelele faini ya milioni kumi. Na sasa ni uhakiki wa taasisi zenu.

Baba Magu kazi uzi, nafikiri ipigwe marufuku kuongoza taasisi ya kidini, kanisa, msikiti na kujiita mchungaji, nabii, kuhahani, shehe, maalimu, imamu nk bila kuwa na elimu ngazi ya shahada moja na kuendelea.

Mbona mtanyooka na kuwa kama moja dadeki. CCM hapo hapo msilegeze hadi waimbe nyimbo ya "Usinipite Jiwe, usinipiteee, unapodhuru wengine, usinipiteee x 2".

Na Yeriko NyerereView attachment 1148473

Kwenye hili nipo na Serikali, kutakuwepo na wema watakao guswa lkn waovyo wataondolewa pia na ndio wengi, Mabaraza ya kiungozi ya dini yangetakiwa kuchukua hatua siku nyingi anyway labda ndio utekelezaji umeanza.
 
wakazie kabisa kwenye kelele, saa11 maspika yamefunguliwa hadi kero. ingawa yanazingua ila sisi tunaoishi uswahilini chumba kile watoto na hiki wazazi ndo muda wa kupongezana
 
Tulipokuwa tukishughulikiwa wanasiasa nyie viongozi wa dini mlijitenga kanakwamba nyie hayawahusu, mchezo ni uleule kama walivyojitenga wanahabari kisha wakashughulikiwa, wakajitenga wafanyabiashara kisha wakashughulikiwa,
Na sasa ni zamu ya eneo hili la kiroho kushughulikiwa kikamilifu, tena nyie mmepigwa pacha, kwanza ni ngoma ya marufuku ya makelele ya kwaya na azana, kisha kodi ya milioni kumi kwa mwaka kila mpiga kelele, na ukipiga kelele faini ya milioni kumi. Na sasa ni uhakiki wa taasisi zenu.
Baba Magu kazi uzi, nafikiri ipigwe marufuku kuongoza taasisi ya kidini, kanisa, msikiti na kujiita mchungaji, nabii, kuhahani, shehe, maalimu, imamu nk bila kuwa na elimu ngazi ya shahada moja na kuendelea.
Mbona mtanyooka na kuwa kama moja dadeki. CCM hapo hapo msilegeze hadi waimbe nyimbo ya "Usinipite Jiwe, usinipiteee, unapodhuru wengine, usinipiteee x 2".
Na Yeriko NyerereView attachment 1148473
dah, ila kwer maana yamekuwa ni mengi na majina ya hajabu sana mfino kwetu huku kuna kuna Kanis Linaitw maskani ya uzima
 
Watafanikiwa Kote ila kwa WAISLAM sidhani kama wataweza maana hii mijitu inajijuaga yenyewe......!!!!
 
Asili ya nyoka ni kugonga, hata wajionao Salama wana kula juu ya meza wajitafakari
 
Watafanikiwa Kote ila kwa WAISLAM sidhani kama wataweza maana hii mijitu inajijuaga yenyewe......!!!!

Tulipokuwa tukishughulikiwa wanasiasa nyie viongozi wa dini mlijitenga kanakwamba nyie hayawahusu, mchezo ni uleule kama walivyojitenga wanahabari kisha wakashughulikiwa, wakajitenga wafanyabiashara kisha wakashughulikiwa,

Na sasa ni zamu ya eneo hili la kiroho kushughulikiwa kikamilifu, tena nyie mmepigwa pacha, kwanza ni ngoma ya marufuku ya makelele ya kwaya na azana, kisha kodi ya milioni kumi kwa mwaka kila mpiga kelele, na ukipiga kelele faini ya milioni kumi. Na sasa ni uhakiki wa taasisi zenu.

Baba Magu kazi uzi, nafikiri ipigwe marufuku kuongoza taasisi ya kidini, kanisa, msikiti na kujiita mchungaji, nabii, kuhahani, shehe, maalimu, imamu nk bila kuwa na elimu ngazi ya shahada moja na kuendelea.

Mbona mtanyooka na kuwa kama moja dadeki. CCM hapo hapo msilegeze hadi waimbe nyimbo ya "Usinipite Jiwe, usinipiteee, unapodhuru wengine, usinipiteee x 2".

Na Yeriko NyerereView attachment 1148473
Copy and paste ila yote ni kuukimbiza upepo, hakuna aliyefaulu kushindana na dunia.
 
Naunga mkono hoja. Wasisahau yale makanisa mawili ya Chato. Moja limo ndani na jengine nje kidogo.
 
Tunaomba serikali ianze na hawa manabii na mitume feki ambayo wanapotosha jamii na kuiangamiza kabisa Kwa style ya kupokea miujiza ya baraka badala ya kufanya kazi....

Leo Kwa mara ya Kwanza naunga mkono kauli ya serikali juu ya matapeli wanaojifanya manabii na mitume
 
Utashangaa pale utapoona "manabii na mitume" wanaachwa halafu kkkt, rc, anglican, moravian et al ndo wanakuwa targeted.

These are very dark times!
 
Bora zihakikiwe tu taasisi zingine za dini ni za uongo na majizi hapa naungana na serikali
 
Back
Top Bottom