Recent content by time2ball

  1. T

    Dkt. Koboko tosheka na majukumu ya Udaktari, mwache Mfamasia kwenye eneo lake la madawa

    Quick question, umesha confirm kwamba Ndugu Koboko ni daktari kweli? Kwa sababu hoja zake zimenifanya nisiamini kwamba ni daktari kweli!
  2. T

    Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

    Hii vita yote issue kubwa ni "Dawa". Dawa ndio yenye pesa. Na hapo ndio chanzo cha huu upunzani mkubwa kati ya MDs na Pharmacy.
  3. T

    Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

    Medicine degree miaka 5 Pharmacy degree miaka 4 Hii ndio Tanzania..internship mwaka mmoja kwa kila mmoja so ni miaka 6 kwa 5...Sio 6 kwa 4 kama ulivyoandika wewe! Fanya utafiti
  4. T

    Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

    Kwa mtaala wa Tanzania this is not the only scope of a pharmacist fanya utafiti!
  5. T

    Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

    Huo ni mtaala wa South Africa, fanya tafiti kuhusu mtaala wa Tanzania ndio utoe hoja yako. Naomba unitajie chuo unachofundisha huko South Africa tuone hiyo curriculum yao ya pharmacy
  6. T

    Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

    Unapotosha sana wewe! Pharmacist anasoma pharmacotherapy akiwa mwaka wa nne, ndani ya hiyo course kuna components za pathophysiology na kabla ya hapo amesoma physiology, pathology, microbiology na biochemistry sasa unaposema hawezi kubaini ugonjwa unapotosha umma ingawa diagnosis sio kazi yake...
  7. T

    Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

    Fanya utafiti kuhusu course content ya pharmacy ya Tanzania kabla hujaandika kuhusu pharmacists na kushusha thamani ya taaluma ya pharmacy.
  8. T

    Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

    Tanzania degree ya pharmacy inasomwa miaka 4 na degree ya udaktari ni miaka 5. Tuache kuandika bila kufanya utafiti japo kidogo wa kile tunachoandika! Acha upotoshaji!
  9. T

    Ushauri kwa Sabaya: Acha! Huko unakokwenda siko

    Well said! He should take it like a man!🙂
  10. T

    Mbunge Aida Khenani yuko wapi?

    Yupo mzima wa afya anachapa kazi! Unataka atoke aende wapi magomeni au kariakoo? 😀😃
  11. T

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Hao wanyonge nao wachangie maendeleo ya nchi yao, sio tu kutegemea kubebwa na tabaka la kati na la juu wenye kulipa kodi!
  12. T

    Mheshimiwa Nyangasa karibu Kigamboni anza na kupatikana Huduma ya Maji ya DAWASA na Tozo Daraja la Kigamboni

    Acha watu wachangie uchumi wa nchi! Upite darajani bure halafu pesa za kulipia gharama za huo ujenzi zitoke wapi? Au waongeze VAT? Au waongeze PAYE? Mtu kama hawezi kupita darajani akapite kwa pantoni kama nayo hawezi ahame toka kigamboni!
Back
Top Bottom