Recent content by time out

  1. T

    Paul Makonda Afanyiwa Maombi Na Mtume Boniface Mwamposa.Atahadharisha Walaghai wanaotumia Neno La Mungu Kuwarubuni Watu.

    Sihitaji hotuba nzima, nitafsirie hicho kipande alikua anamaanisha nini huyu mheshimiwa
  2. T

    Paul Makonda Afanyiwa Maombi Na Mtume Boniface Mwamposa.Atahadharisha Walaghai wanaotumia Neno La Mungu Kuwarubuni Watu.

    https://www.facebook.com/reel/4694648040761273/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v Embu bonya hapo kwa faida ya fuvu lako gumu
  3. T

    Paul Makonda Afanyiwa Maombi Na Mtume Boniface Mwamposa.Atahadharisha Walaghai wanaotumia Neno La Mungu Kuwarubuni Watu.

    Si ajabu hata hukufuatili hiyo ibada, walio fuatilia waliiona na walishuhudia, walio elewa nini kilikua kinafanyika waliea, wewe baki na fuvu lako hilo endelea kulikaza
  4. T

    Paul Makonda Afanyiwa Maombi Na Mtume Boniface Mwamposa.Atahadharisha Walaghai wanaotumia Neno La Mungu Kuwarubuni Watu.

    Nilisikiliza salamu zake, nilichogundua ametumia kichaka cha mwamposa kuruka na maaskofu, matumizi mabaya ya madhabahu za Mungu
  5. T

    Yaliyoko Simu2000 yanaumiza na kuhuzunisha sana

    Kuna stand mpya mwenge na haina magari zaidi ya yanayo kwenda mabibo, kwanini wasifute TLB ya mawasiliano wawape ya Mwenge ikiwezekana na gari za kwenda gerezani na posta zianzie mwenge, maana ile stand ni kubwa na haina inachofanya
  6. T

    CHADEMA: Khamis Omary amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali Polisi walisema hawajamshikilia katika kituo hicho

    Utaua wangapi!? Hamna mtu atakae barikiwa na program hii hata hao wanaopewa amri za kufanya haya yote ni basi tu kila mtu anafanya kishingo upande na ndio maana kunatokea makosa mengi na ya wazi kiasi kwamba hata watoto wadogo wanabaini kila kitu bila kuuliza swali
  7. T

    CHADEMA: Khamis Omary amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali Polisi walisema hawajamshikilia katika kituo hicho

    laana na aibu kubwa sana hii " panya kaloa " na bado utamona mtu kwenye press akihamasisha wananchi kama sie yeye anae husika, aisee kuna watu hawamuogopi Mungu, hawana aibu wala soni na hawana ubinadamu kabisa
  8. T

    CHADEMA: Khamis Omary amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali Polisi walisema hawajamshikilia katika kituo hicho

    Yaani! Hivi hii mission lengo lake ni nini haswa, na hata baada ya mission hiyo wanategemea nini, maana kila wanaeruka nae wanatokea wengine kadhaa, ina saidia nini, na sasa imekua too much yaani too much
  9. T

    CHADEMA: Khamis Omary amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali Polisi walisema hawajamshikilia katika kituo hicho

    Aisee! Hapo ndio utagundua damu za watu ni mbaya, yaani unasahau hata impact ya swala unalo kabiliana nalo, kwani wangekubali wanae tangu mwanzo walikua wanapungua nini au ndio MISSION TERMINATED
  10. T

    PreGE2025 Kwanini Polisi haijibu tuhuma alizotoa Sativa juu ya Faustine Mafwele kuhusika kwenye utekaji wake?

    Yule ndugu akiambiwa athibitishe kama aliyo yachapisha kwenye kurasa zake za mtandao kua ni kweli, unadhani nini kinatokea kama sio huyo mafwele kuitwa mahakamani, na shahidi namba moja wa kumtambua mafwele ni sativa ambae alimuona na anauhakika nae maana yeye ni muhanga wa huyo mafwele
  11. T

    PreGE2025 Kwanini Polisi haijibu tuhuma alizotoa Sativa juu ya Faustine Mafwele kuhusika kwenye utekaji wake?

    Hiyo kesi ya bonny kuna mahala ikifika lazima huyo mafwele afike mahakani ndio hapo na sativa ataenda kumthibitisha na hapo ndio kila mmoja ataondoka na haki yake hiyo subiri uive bw mdogo
  12. T

    Msafara wa Waziri huku Kigoma, ulimgonga mjomba wangu lakini cha ajabu hawakusimama kumuangalia. Hivi ni kweli hii ndo Tanzania tunayoitaka?

    Pole sana ndugu kwa kuondokewa na mpedwa wako, pole sana. Msafara kabla haujapita hua kuna maandalizi ya msafara huo kupita na baada mazingira ya msafara kukaa sawa kuna king'ora kinapita kwanza either diffender au pikipiki, huyu mjombaa yeye haya yote hakuona
  13. T

    Jamani huku makazini mwetu kuna kazi

    Vitu kama hivyo vikitokea unatakiwa kukaa kimya na kujifanya hujui kinachoendelea hata kama umeshiriki, yeye mwenyewe mgawaji hawezi akawa anapishana na wewe bila kuona aibu na lazima awe na swali kichwani kwake kua kama ikitokea ishu nyingine ata i operate vipi
  14. T

    PICHA: Wananchi Kariakoo wamgomea aliyejitambulisha kama Polisi kuondoka na mtuhumiwa

    Hao wafuatiliwe na wote wataonekana hadharani na tutawajua wote
Back
Top Bottom