Recent content by Timbwilimbiz

  1. Timbwilimbiz

    Natafuta wimbo wa Chilambo cha vene

    Habari ja nelo, Vavaana vachidako Akoo?
  2. Timbwilimbiz

    Serikali na watanzania mnaoishi Finland msaidieni huyu jamaa ni wakusaidiwa

    Mbona muna mlaumu mleta mada bila sababu, yeye ni mgeni kule kukutana na Mtanzania mwenzake ghafla wakati anasubiri usafiri wake, Ameongea nae kwa muda mchache aliokuwa pale Sasa nyinyi mulitaka ambebe mgongoni!, Kwa maelezo ya jamaa huyo mtu Kajielezea tu kuwa Mtanzania na kazi alizozifanya...
  3. Timbwilimbiz

    Binadamu wa kwanza duniani kuwa Mtanzania, kwanini hatujawahi kuitawala dunia?

    Umekuja kumsaidia, Ok ni Ivi mleta mada hoja yake ni hii Mashuleni mwetu tunaamishwa kuwa binadamu wa kwanza aliishi Tanzania, Alafu akauliza, Watanzania tumeshindwaje kuitawala dunia,? Jamaa yako akamjibu kuwa C kweli kwamba mtanzania wa kwanza alipatikana au aliishi tanzania Alafu tena...
  4. Timbwilimbiz

    Binadamu wa kwanza duniani kuwa Mtanzania, kwanini hatujawahi kuitawala dunia?

    Wewe ndio hujaelewa kinachoongelewa kwenye mada hii Ebu soma kwa kutulia angalia ulichoandika, Ivi unawezaje kutofautisha Wahadzabe na Wakhoisani kuwa c uzao wetu huu tulionao Ebu nipe Fact hao uliowataja uzao wao ni upi n cc wengine uzao wetu ni upi?
  5. Timbwilimbiz

    Binadamu wa kwanza duniani kuwa Mtanzania, kwanini hatujawahi kuitawala dunia?

    Aise acha kuchekesha watu kwa hiyo kwa maelezo hawa Wahadzabe (bushmen) na Wakhoisan c binadamu?
  6. Timbwilimbiz

    Polisi aliyemkodi mwenzake ili amtie mimba mkewe, amfikisha mahakamani kwa kushindwa kumtia mkewe mimba

    Jamani hawa wake zetu ni wasiri Sana kwenye isue ya watoto, watoto wengi sana tunaowalea mama zao ndio wanajua damu zao halisi, Pia tambua hata cc wababa tuna watoto wetu wengi tu wanalelewa na wababa wengine, Ebu jiulize ni mbegu ngapi umezipanda kwenye mashamba tofauti alafu ukazipotezea...
  7. Timbwilimbiz

    Msaada: Kuna mtu huniibia hela na kunichomekea noti bandia nyumbani

    Wewe nawe acha kusingizia msichana wa kazi Tatizo liko kwa mkewe Angelikuwa ni huyo msichana wa kazi angebeba mzigo wote asepe nao, Ila yaelekea jamaa kaoa mke mjanja kuliko yeye, Kwanza huyo jamaa hana maadili ya Ndoa kwasababu hii isue ni ya chumbani kwake na mke wake lakini anaitoa...
  8. Timbwilimbiz

    Tuweke jumbe za Mabango ya Mei Mosi 2018 hapa

    Madereva muna leseni, lakini matajiri wanatuamisisi cc Makonda.
  9. Timbwilimbiz

    Msaada: Kuna mtu huniibia hela na kunichomekea noti bandia nyumbani

    Yaani Namuhurumia huyo jamaa Yaelekea hata cku akimfumania mkewe anatoka nyumba ya kulala wageni, Ataambiwa eti yule kaka alikuwa ananitongoza kule ndani Then atakuja kutuuliza cc huku jf
  10. Timbwilimbiz

    Msaada: Kuna mtu huniibia hela na kunichomekea noti bandia nyumbani

    Hapo nyumbani kwako, Mke wako ndio ana Sauti kuliko wewe, Pole sana
Back
Top Bottom