Recent content by Tim VancanPRO

  1. Tim VancanPRO

    JamiiForums Tanzania KERO RITA fanyeni maboresho kwenye mtandao wenu

    Nliomba cheti kipya kwenye mfumo wa RITA tarehe 7/5/2026 kwa ajili ya verification na mpaka leo hii 23/6/2026 sijapewa mrejesho kama rejected or? na nlisubiria maombi yarudishwe ili nirekebishe attachment nliyoweka awali lkn mpaka sasa hawajarejesha na nmeshindwa kufanya baadhi ya procedures...
  2. Tim VancanPRO

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mboga za majani aina ya Chainizi husababisha upungufu wa Nguvu za kiume

    Kumekuwa na Madai ya kwamba matumizi ya mboga za majani aina ya chainizi yamekua na madhara katika ufanisi wa tendo la ndoa kwa wanaume. Kuna ukweli gani katika hilo suala? Naomba nijibiwe kitaalam niweze kuelewa.
Back
Top Bottom