Recent content by Tillya Edwin

  1. T

    nauza simu samsung z2 70000

    weka picha Sent using Jamii Forums mobile app
  2. T

    nauza simu samsung z2 70000

    haijenda kwa matechnician mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. T

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nashuku naomba wimbo wa tabia mwanjelwa maisha safari ndugu naupenda sana Sent using Jamii Forums mobile app
  4. T

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Huo wimbo wa bibi kidude ulikuwa ukichezwa redio Tanzania sana saa Saba hongera mwanangee hongera Sent using Jamii Forums mobile app
  5. T

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta wimbo wa Bibi kidude hongera mwanangu eee hongera Tbc walikuwa wakiucheza sana kama kianzilishi kwenye vipindi vyao naupenda sana Sent using Jamii Forums mobile app
  6. T

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta wimbo wa bibi kidude hongera mwanangu eee hongera tbc walikuwa wauchezaga kama kianzilishi kwenye kipindi naupenda sana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. T

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    mwenye nyimbo ya bibi kidude wimbo wa hongera mwanangu naupenda sana Sent using Jamii Forums mobile app
  8. T

    Achana na DSTV njo uku...

    sina channel hata moja nilizifuta bahati mbaya nitazirudishaje? mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. T

    Achana na DSTV njo uku...

    Habari wana jamii forum msaada kwenu dish langu linaandika no channel no data available dish kubwa receiver mediacom 930 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom