si kwmba ameleta utumbo.,,tuache utomaso usio na maana. Mm nimeshuhudia kw macho yangu wanafunzi wanne wakianguka netcafe baada ya kukosa mkopo na mwingine mpaka sasa ana drip hospital. Hali ni mbaya. Ila naomba tuwasaidie namna ya ku appeal
Jamani wadau,,nimechaguliwa udom bachelor of education in guidance and couceling. Lakini nimekosa kabisa mkopo toka loan board. Nasikia huwa kunakuwa na ku appeal bodi. Naombeni mwenye kujua process za ku appeal anisaidie. Ntaanzaje?
IF DAT IS TRUE,,BASI HEBU TUPIA CONTACTS ZAKO ILI TUKUTAFUTE. KAMA VP UNAWEZA KUTUPIA UR CONTACTS KWENYE KA E-MAIL HAKA...erically11@yahoo.com ILI TUKU FIND!! OKOA JAHAZI, VJANA WANAHANGAIKA BRO
Tatizo la maji chuo kikuu cha Dodoma linatesa sana wasomi ambao wapo eneo hili.
Nawaonea huruma sana mabinti na wanawake ambao wapo hapa kwani inafika wakati inawalazimu kutoka nje ya chuo na kwenda kijijini kutafuta maji. Maana hawa wenzetu ni tofauti sana na sisi wanaume!
=======
Oktoba 20...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.