Recent content by Tibaroad

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Yeyote atakayejaribu kuichezea Serikali hatutamuacha salama

    Katiba ya Wananchi sio ya CHADEMA msituletee mambo ya Simba na Yanga hata kwenye mambo muhimu kama haya
  2. T

    JamiiForums Tanzania Duniani kote Siasa zinaendeshwa kwa Matukio ya Sasa na Yanayotarajiwa, bila Siasa za matukio nchi inadumaa. CHADEMA wako sahihi kwenye hili!

    Strategia gani hiyo ya kimya kimya itakupatia kura kwa ajli ya kushika dora..... hao ccm wenyewe fairplay wanaogopa mpaka uwasemee ACT wapo kimipango zaidi ili waendelee kupotea.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tukubali tu Kiingereza sio lugha yetu katika masuala mazito, tusiwe watumwa

    Ishu si lugha ni mkataba mbovu hata kuutetea unashindwa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kuona matukio kama uliwai kuyaona kabla....

    Imetokea mara nyingi kwangu pia toka nilipokua mdogo
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kila mkulima mdogo kuchimbiwa kisima na kufungiwa mfumo wa umwagiliaji wa ekari 2.5

    Tupo kwenye Bandari sasa
  6. T

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe atoa hoja nzito juu ya uwekezaji wa DP World Tanzania

    Hizi za kitambo hazijui huyu mpya
  7. T

    JamiiForums Tanzania Thabo Bester maarufu 'Mbakaji wa Facebook' na Dkt. Nandipha Magudumana wakamatiwa Arusha Tanzania. Wafahamu kwa undani wapenzi hawa

    Walichukua maiti mortuary na kupelekwa Magereza kuchomwa ionekane kajiua
  8. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aruhusu vyama vya siasa kufanya Mikutano ya hadhara

    Kama sio uadui kwanini watu wanapigwa risasi wengine wanatekwa na kupotezwa... fahamu siasa zetu ni vita kwasababu watu hawataki kutoka kwenye mamlaka kwa maslai yao.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Butiama: Misa ya Maandalizi ya kumtangaza Julius K. Nyerere kuwa Mwenye Heri yafanyika kuelekea kuwa Mtakatifu Nyerere!

    Mimi nilikua huko jamaa anachosema sawa kabisa
  10. T

    JamiiForums Tanzania Butiama: Misa ya Maandalizi ya kumtangaza Julius K. Nyerere kuwa Mwenye Heri yafanyika kuelekea kuwa Mtakatifu Nyerere!

    Haya masuala ya Imani Wakatoliki wanafanya kwa akili zao .. toka lini utakatifu wa mtu ukaonwa na mwanadamu haya mambo yalisababisha nikahama dhehebu yaani hata kama wewe mlevi sana ikiwa tu jumuiya hukosi siku ukifa wanasema ameenda mbinguni ... nani aliwaambia kapokelewa.
  11. T

    JamiiForums Tanzania UVCCM wamtaka Lissu aachane na hoja ya Katiba Mpya. Wamuonya asithubutu kurudi nyumbani na kuongoza maandamano

    Usidharau elimu za watu hao UVCCM wanaaangalia maslai yao binafsi si kwamba hawafahamu umuhimu wa katiba mpya kwasababu ukiwa field wanaozungumzia katiba mpya ni hao hao la saba na form 4 kwanza hawana hofu kwasababu hawana cha kupoteza kwanza wasomi ndo wasaliti na huwa wanakatisha watu tamaa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kama Uhamiaji matendo ndio kama hayo. Je Nchi yetu ni salama kiasi gani?

    Hawa Uhamiaji ni wasumbufu sana kwa Watanzania tunapotaka kuvuka border au kuingia kwenye border zetu wenyewe kuliko hata wageni wakiona unatoka nje ya Nchi tu basi kwao ni dili
  13. T

    JamiiForums Tanzania Naandika nikijua hasa nini kinaendelea. Makonda fanya haya usidhurike

    Kumbe baadhi nchi anaweza kwenda lakini hao jamaa hawezi kuwakimbia hata nje wapo ni familia
Back
Top Bottom