russia mwenyewe amekung'utwa (kashindwa vita) na Duchy of poland, sweden Lituania, France, Turky, Britain, Japan, Latvia, Estonia, Georgia, Ukraine, na unaona kabisa kuna nchi nimezilist hapo baada ya kushindwa vita hizo nchi zikawa huru, aliisaidia ethiopia kivita ili eritrea isijitenge...