Mshirika wa karibu wa Rais Putin azionya Nchi za Magharibi

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Rais wa zamani wa Urusi, Dmitry Medvedev ambaye pia ni Mshirika wa karibu wa Rais Vladimir Putin amezionya Nchi za Magharibi, akisema ongezeko la Misaada ya Kijeshi Ukraine linaweza kusababisha mzozo kati ya Urusi na Muungano wa NATO

Medvedev ambaye pia ni Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Urusi amesema mzozo kama huo una hatari ya kugeuka kuwa vita kamili ya nyuklia

Amesema Nchi za NATO kupeleka silaha na kutoa Mafunzo kwa Wanajeshi karibu na Mipaka ya Urusi kunaongeza uwezekano wa kutokea mzozo wa moja kwa moja kati ya NATO na Urusi

=======

One of President Vladimir Putin's closest allies warned the West on Thursday that the increasing military support given to Ukraine by the United States and its allies risked triggering a conflict between Russia and the NATO military alliance.

Former president Dmitry Medvedev, now deputy chairman of Russia’s security council, said such a conflict with NATO always carried the risk of turning into a full blown nuclear war.

Russia's Feb. 24 invasion of Ukraine has killed thousands of people, laid waste to swathes of its former Soviet neighbour and raised fears of the gravest confrontation between Russia and the United States since the 1962 Cuban Missile Crisis.

"NATO countries pumping weapons into Ukraine, training troops to use Western equipment, sending in mercenaries and the exercises of Alliance countries near our borders increase the likelihood of a direct and open conflict between NATO and Russia," Medvedev said in a Telegram post.

"Such a conflict always has the risk of turning into a full-fledged nuclear war," Medvedev said. "This will be a disastrous scenario for everyone."

Russia and the United States are by far the world's biggest nuclear powers: Russia has some 6,257 nuclear warheads while NATO's three nuclear powers - the United States, United Kingdom and France - have about 6,065 warheads combined, according to the Washington-based Arms Control Association.

Putin says the "special military operation" in Ukraine is necessary because the United States was using Ukraine to threaten Russia and Moscow had to defend against the persecution of Russian-speaking people.

Putin, who says Ukraine and Russia are essentially one people, casts the war as an inevitable confrontation with the United States, which he accuses of threatening Russia by meddling in its backyard through NATO eastward enlargement.

Ukraine says it is fighting an imperial-style land grab and that Putin's claims of genocide are nonsense. Kyiv says Putin's invasion has only strengthened the Ukrainian people's wish to turn westwards out of Russia's orbit.

Source: Reuters
 
... hawa mafashisti kwa kutishia nyuklia wako vizuri! Wanadhani wao watabaki salama mtiti wa nyuklia ukianza?
yaaan wanatishiaga nyuklia as if ni kitu kigen sana duniani na wanacho wao tu US alishatestigi live tena miaka zaidi ya 70 iliyopita na NATO walivyo wakorofi wala hawana habari nao ndo kwanza misaada inaongezeka kwa ukraine Ana vikwazo vinaongezeka kwa russia, meli za russia zinalipuliwa kyeiv urusi kafurushwa
 
Achukue2 ila mbona mwanzo alitishia atakaeingilia atamuonesha mbona bado2 n vitisho na watu wanaingilia waziwazi?? Urussi mwanamke2 nae
Anawatishia manyuklia, machuma chuma tuuuu, wakwanza kujitoa muanga alikuwa muingereza akapeleka silaha za javaline na zikalipua mavifaru yaliuokuwa yanaenda harusini Kyiv Ukraine. Wakapeleka misaada mingi tuuuu. Ndio USA nae kuenda na misaada
 
Back
Top Bottom