Recent content by thomasankara

  1. T

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Kuna vijana wanataka kuchoma bandari kavu, kisa foleni

    Hizo customs bonded house kwanza ni vituo vya kukwepa kodi tu. Hebu fikiri kama lengo la kufungua bandari kavu kibaha ni kuondoa foleni hivi vituo vya kuchukulia mizigo wanasambaza ni jini kwa nia gani. Sasa hiizi bohari za kutozea ushuru wanaziita bandari kavu kimakosa au kusudi kupotosha huku...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Hadi sasa sielewi mimi ni mtumishi wa umma ama siyo

    Prof Assad alikosea sana kumuamini Zitto Kabwe kwamba Magufuli aliyekuta uteuzi wake toka JK katiba inamzuia kumtimua. Mtu msomi hakuweza kutambua kwamba rais wa jamhuri tena msomi kama magufuli hashindwi kikatiba kukutoa kwenye nafasi uliyoteuliwa na rais wa jamhuri. Tangu atenguliwe miaka...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mbunge Simai: Kauli ya 'Yuda Serikalini', watu wazima walinielewa

    Msioelewa nchi hii kuna vuta ni kuvute kati ya viongozi wazalendo na viongozi wapigaji. Mwendo wa kimagufuli uliwapa pigo kubwa wapigaji ambao mwisho wakafanikiwa kumuengua magufuli kwa njia wanajua wenyewe. Wameapiza kwamba siasa na falsafa ya uongozi nchini kamwe mwendo wa kimagufuli usipewe...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mbunge Simai: Kauli ya 'Yuda Serikalini', watu wazima walinielewa

    Msioelewa nchi hii kuna vuta ni kuvute kati ya viongozi wazalendo na viongozi wapigaji. Mwendo wa kimagufuli uliwapa pigo kubwa wapigaji ambao mwisho wakafanikiwa kumuengua magufuli kwa njia wanajua wenyewe. Wameapiza kwamba siasa na falsafa ya uongozi nchini kamwe mwendo wa kimagufuli usipewe...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Je kurudi nyuma kwa sukuma gang(Team JPM) kutaathiri mwitikio ya Maandamano 7/7?

    Sukuma gang au mwendo wa kimagufuli hawawezi kabisa kua kitu kimoja na wale wanajiita wanaharakati kwa sababu wanaharakari lao ni tofauti na wanafadhiliwa na nchi za kibeberu.
  6. T

    JamiiForums Tanzania CAG Mstaafu Assad: Kosa kubwa tulilofanya ni kuruhusu Wafanyabiashara kuingia kwenye siasa!

    Huyu mtu ni bomu linalotembea tu linaweza kulipukia popote. Sasa tuna vyama vingi utawezaje kusema wafanya biashara wasifanye siasa? Wakiwa wafanyakazi na wakulima tu utaweza kuwazuia wasiwe wafanya biashara? Je una chama chenye nidhamu ya kuweza kuzuia wafanya biashara wasiingie bungeni...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Je kurudi nyuma kwa sukuma gang(Team JPM) kutaathiri mwitikio ya Maandamano 7/7?

    Hao unawaita sukuma gang hawapo na kina mange kimambi wala chadema wenye kutaka demokrasia ya kiliberali. Uliberali ni hatari kwa uhuru wa taifa kwani unatoa mwanya mabeberu kuweka watu wao kuongoza taifa kwa manufaa yao. Hao unawaita sukuma gang ni wanaccm wazalendo. Ni kundi la wanaccm...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kama makao makuu ya nchi yako Dodoma kwa nini Samia anafanyia Dar es Salaam kazi ya Urais?

    Tumshukuru Magufuli kwa kutimiza kuhamisha makao makuu ya Taifa Dodoma kufuatana na uamuzi wa baba wa taifa zaidi ya miaka 50 iliyopita. Karibu Marais wote waliyofuata hasa waswahili wa pwani hawakulipendelea suala la kuhamisha makao makuu kwenda dodoma. Baada ya Nyerere, Mwinyi hakutoa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Uwezi niamini, lakini NAKWAMBIA ukweli vikao vingi vya Pole pole na Magufuli ikulu,Bashiru Ally kakuru alikuwepo. Ile Leo jamani.

    Wamemhonga uwaziri ila najua anapiga timing. Mwanamapinduzi ndani ya ccm hawezi hana jambo la kimapinduzi anafanya au kupanga kufanya.
  10. T

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Wanatamani kuleta chokochoko, nguvu tutakayotumia awamu hii kulinda amani, haijawahi kutokea

    Mjinga tu chalamina. Kauli za kutisha watu sisizo na msingi ndio zinawaudhi wananchi na kuwafanya kugangamana shingo na kujitokeza kuandamana.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nchi hii tulipata bahati mbaya

    Nasisitiza Magufuli alikua anazingatia sana katiba na sheria. Wasiopenda haki hawakumpenda kwa wao kutaka kutumia sheria kuepa haki au kufanya biashara ya kuuza haki kupitia sheria.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Compare & Contrast Marais 6 wa Tanzania on Democracy, Jakaya is The Best!, Apewe Maua Yake!, Samia Pia Ana Fursa To Be The Best!, Je Atakuwa?

    Mayalla ujue hakunaga demokrasia kamili kana unawaza demokrasia ya kiliberali. Ukweli kunakuaga na utawala wa haki na utawala wa kidhalimu. Kuhusu Samia huyu ndio kabananga demokrasia kuanzia kwenye chama chake. Kisha kaja mwenyewe uchaguzi mkuu kajisimamisha kugombea peke yake. Ukweli hapakua...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nielimishwe: Je, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika baadhi ya mikoa ya Tanganyika ni himaya halali ya Zanzibar?

    Hiyo ardhi walipewa kwa kutunzia mifugo inayosafirishwa zanzibar na nyrerere kutoka bara. wasije kutaka kuweka miliki ya bendera ya zanzibar hapo.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Marekani yaondoa baadhi ya masharti makali kwa Tanzania

    Kuwepo kwenye anga la watu hao ni hatari. Ni vyema wamarekani watusahau kwani kwa historia nchi yetu haichezi michezo ya kua kibaraka wao. Ukweli kama nchi nyingi tunaiogopa nchi hiyo yenye hila mbaya nyingi. Sisi tunataka kuheshimiwa uhuru wetu.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Nchi hii tulipata bahati mbaya

    Magufuli alisimamia haki na sheria kwa ukakamavu na kuongoza serikali imara. Fisadi na dhulumati wanapenda kuwepo serikali corrupt na legelege yenye kutoa mwanya kwa fisadi na dhulumati kutumia uwezo wao wa fedha kununua haki.
Back
Top Bottom