Recent content by Thomas.mkusa

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mlio pita highland secondary school mpoo?

    Uhuchu,Kenny,Malinga, Mpogole great memories 1995 - 1997
  2. T

    JamiiForums Tanzania gari aina ya alteza....

    mkuu ongea ukweli ili umsaidie jamaa kufanya maamuzi sahihi. Ukisema lita 6 kwa kilometa 100 ni sawa na kusema 1Lt kwa zaidi ya km 16 ktu ambacho si kweli kabisa. Let us stick to the average consumption of 1Ltr per 9Km at least it gives sensé!
  3. T

    JamiiForums Tanzania Majambazi Yakamatwa Zanzibar!!

    Ripoti imepoteza maana nzima, kwa lugha ya namna hiyo ni wazi kuwa imeongezewa chumvi nyingi mno kiasi cha kupoteza radha.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Billionaires wa tanzania

    Dar es Salaam inaongoza. Lkn kumbuka ktk Tz kadiri ya takwimu anaanza Rostam then Mengi. Wengine hawatajwa kwani hao wawili wapo kwenye top 50 ya Africa
Back
Top Bottom