Recent content by Thomas Dimoso

  1. T

    JamiiForums Tanzania Interview SUMATRA

    Kumbe wametuma barua hata me pia sijapata hiyo barua yao ina maana wameshindwa hata kutuma msg hawa jamaa hawapo serious kbs yan wanazingua sana au ndio vile aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa ila poa tu
  2. T

    JamiiForums Tanzania TRA wameita watu kwenye usaili

    Sorry wadau me nimesoma IT na niuliomba nafasi TRA kama assistant preventive officer lakini sijapata email yao kuitwa kwenye interview. Naomba kuuliza watu wa IT hawana qualification za kufanya kazi kama preventive officer
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi 2000 za kazi, Viettel Tanzania

    Nafasi za kAzi Vettel Tanzania
  4. T

    JamiiForums Tanzania Waliofanya Interview ya PCCB

    Interview zinaisha tarehe 14 means ijumaa hii
  5. T

    JamiiForums Tanzania Waliofanya Interview ya PCCB

    Interview zinaisha tarehe 14 march means ijumaa hii kwa hiyo kuwa na amani tu
  6. T

    JamiiForums Tanzania Interview PCCB

    IT,,bado haujaisha bana nimeuliza hivyo nikiwa na uhakika coz me nafanya tarehe 25
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye Taarifa Kuhusu LAPF Vacancies

    Habari wana Jamii Forum? Hivi ile interview ya written ya LAPF tuliyofanya mwaka jana mwishoni pale DUCE majibu yalishatoka? Kwa mwenye taarifa msaada tafadhari
  8. T

    JamiiForums Tanzania Interview PCCB

    Poa@kagomaz
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hawa PCCB wako wapi?

    Upanga
  10. T

    JamiiForums Tanzania Interview PCCB

    Habari zenu wadau? Naomba updates za interview za PCCB kwa ambaye ameshafanya tayari zime-base ktk nini hasa? Kwa mwenye taarifa tu. Thank you in advance!!
Back
Top Bottom