Nilianza kulipwa hiyo 33.3% tarehe 11/12/2024 na nililipwa amount ya miezi miwili. Niliachishwa kazi tarehe 30/09/2024. Baada ya kunilipa hiyo hela ya miezi miwili inachukua muda gani kulipa malipo ya awamu nyingine kwa miezi minne iliyosalia. Nilijua labda wangelipa tena mwisho wa mwezi wa 12...
Mimi niliachishwa kazi September 30 mwaka huu, Nimefatlia mafao yangu NSSF mwezi huu wamenilipa 33.3% ya mshahara niliokuwa napata kwa mkupuo wa miezi miwili. Malipo yanayofuatia huwa wanalipa kwa utaratibu upi au ikifika tarehe waliolipa mwezi huu mwezi unaofuatia tarehe hiyo hiyo wanalipa...
Laptop aina ya hp inauzwa sifa zake ni:-
RAM-2.00GB
PROCESSOR-Intell celeron 1.5 GHz
SYSTEM TYPE-64-bit OS
HDD-500 GB
Battery capacity 4Hrs
Windows 10 Inteprise
Bei 300,000/= kwa anayehitaji tuwasiliane kwa namba 0758433462 nipo makumbusho Dar ea salaam
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.