Kwa lugha rahisi kabisa site plan ni ramani inayoonesha kilichopo ardhini au kwenye kiwanja au site kama ni kiwanja basi ukubwa wake,shepu yake,mipaka yake nk kama kuna nguzo au nyumba au mtaro yani kitu chochote ambacho kipo kwenye kiwanja kinaoneshwa kwenye site plan. TP(Town plan layout or...
Kwa nini bei za viwanja vilivyopimwa ziko juu sana nchini Tanzania?
Na Thom munkondya.
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa bei ya juu sana kwasababu upimaji ni gharama sana. Ukiona sehemu viwanja vilivyopimwa vinauzwa bei ya chini basi ujue hivyo viwanja havijapimwa ila vimetangazwa kama vimepimwa...
JE NI SAWA WAKAZI WA NGORONGORO KUHAMISHWA..?
Na Thom munkondya.
Kwa mujibu wa sheria zetu za ardhi,mtu yoyote au mmiliki yoyote wa ardhi katika eneo lolote la nchi yetu awe na hati miliki au asiwe na hati miliki anaweza kuondolewa kwenye ardhi yake kama tu jambo linalofanywa au linalotakiwa...
2006 NISSAN PATROL
Price Tshs. 30 Million
Engine TD42
Manual, 4000cc Fuel Diesel
Gari ya kazi kazi
In Very Good condition.
Imetunzwa vizuri mnoo
Mazungunzo kidogo yapo.
Whatsapp/call: 0744336336
VIWANJA VINAUZWA KIGAMBONI
KIMBIJI PROJECT PHASE VII
MAELEZO
Ni mradi wa viwanja vilivyopangwa na kupimwa vizuri.
UKUBWA
Kuanzia sqm 500
LOCATION
Kigamboni kimbiji
(Mtaa wa golani, nyuma ya jengo la serikali ya mtaa)
UMBALI
Kilomita 30 kutoka ferry
Kilomita 2 kutoka bahari ya hindi
Mita 100...
#Repost @msomirealestatebrokersltd with @make_repost
・・・
KIWANJA KINAUZWA
LOCATION
Kigamboni gezaulole
Mtaa wa mnarani
UMBALI
Kilomita 13 kutoka ferry
Kilomita 1 kutoka barabara ya lami
HUDUMA ZA KIJAMII
Maji ya dawasco
Umeme upo
UKUBWA
Sqm1396 (40 kwa 35)
Robo ekari na kidogo
NYARAKA.
Hati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.