Tusubiri kidogo mpaka lini,jambo lolote lenye plan,linakuwa na timeframe, kuhusu uchumi na ajira, ni zao la katiba mbaya na kandamizi, KATIBA ni msingi wa yote, Kwani kilichoharibu uchumi na hata ajira si kilitokana na katiba,iliyotengeneza mamlaka isiyo wajibishwa??? Na kwa kweli ili si jambo...