Recent content by Thinktz01

  1. T

    JamiiForums Tanzania Maaskofu Shoo, Munga na Bagonza wakemee ‘ubakaji’ wa demokrasia unaofanywa na Mbowe CHADEMA

    Kwaujumla uchaguzi wa Chadema niwakujivunia na wa Mfano. 1.Hakuna mahali Police wamehitajika kama Ule wa CUF ya lipumba kuzuia kukubalika kwa barua yake ya Kujiuzulu wala ule wa Kuchagua Viongozi Nnje ya Kambi ya Maalim Seif. 2. Hata Summaye alipata nafasi yakwenda kupigiwa Kura na wajumbe, na...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Maaskofu Shoo, Munga na Bagonza wakemee ‘ubakaji’ wa demokrasia unaofanywa na Mbowe CHADEMA

    Hivi ni Rais Makufuli au Tanzania? Hawa ni Wananchi wa Tanzania hivyo ni Muhimu kuisemea Nchi yao, ila si lazima kuwa Wanachama wa Chadema au Chamakingine, hivyo hawalazimiki kuisemea Chadema wala Chama kingine, hebu tutumie fikrazetu vizuri kuikomboa Africa yetu Kutoka kwenye huu Umasikini wa fikra
  3. T

    JamiiForums Tanzania Maaskofu Shoo, Munga na Bagonza wakemee ‘ubakaji’ wa demokrasia unaofanywa na Mbowe CHADEMA

    Wewe ukiwahi kuingilia Demokrasia ndani ya Chama Chochote. Hasa huko ambapo Raisi anapewa Uwenyekiti kama Mwanachama maalum? Nani Kawahi ona hiyo si Demokrasia
  4. T

    JamiiForums Tanzania Maaskofu Shoo, Munga na Bagonza wakemee ‘ubakaji’ wa demokrasia unaofanywa na Mbowe CHADEMA

    Kwanza haya ni Maoni yako, iweje ulazimishe Askofu wetu watoe kauli Kuunga mkono Maoni yako? Poli kuba tofauti kubwa kati ya Demokrasia kwenye Mambo ya Kitaifa na Kwenye Chama cha siasa kwa sababu zifuatazo. 1. Kukaa kwenye Chama ni uamuzi unaoweza kuubadilisha wakati wowote, hivyo ni uamuzi wa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Majibizano ya Mh.Rais na Mkurugenzi wa TBA leo Chamwino yanaonesha jinsi Rais asivyofuata ushauri wa Wataalamu wake, Rais asivunje sheria

    Tuwe waungwana, sisawa Uujibizana na Rais hadharani kwa Kumkosoa hata kama amekosea. Huu ni ustaarabu wa kawaida tuu, kwa Mkubwa wako Kicheo. Zipo njia zinazokubalika ki protokali.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Wazo Gomvi: Kabla ya Kujitoa CHADEMA Ingeeleza Hili Kwanza...

    Kweli Sasa Umezeeka, Hata zile Busara za Mawazo zimekupotea Mzee wetu wa Kijiji.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
  7. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ibadili jina badala ya kujiita CHADEMA ijiite CHADE

    Akilizako ndo zimeishia hapo
  8. T

    JamiiForums Tanzania Maneno haya ya mtendaji mkuu wa Barrick kwenye uzinduzi wa kampuni ya Twiga yamenitisha sana

    Acha ushamba, we hujui kilichotokea
  9. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

    Tena Vita ya Kiuchumi, na ni Kwasababu wanatuonea Wivu
  10. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

    Wewe ni mataalam wa fani hiyo kiasi cha kutambua kama alifanya blunder?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

    Unasema, Zika haikwepo, na Mwele alisema Uongo? Unaongelea Research au?
Back
Top Bottom