Recent content by ThinkingAloud

  1. T

    TBS na TFDA okoeni maisha yetu kwa kupima ubora wa unga wa mahindi na muhogo unaosagwa mitaani

    Tatizo siyo ujuaji. Wewe unashindwa kueleza tatizo unaloliona badala yake unaelekeza mashambulizi kwa uwekezaji ulio karibu na unakoishi bila kujua wanavyo manage regulatory compliance requirements kwa uwekezaji wao. Ukiingia huko ndiyo utapata nafasi ya kujua na kuacha kuwapiga vita. Acha...
  2. T

    TBS na TFDA okoeni maisha yetu kwa kupima ubora wa unga wa mahindi na muhogo unaosagwa mitaani

    Mitaaani maana yake ni nini? Viwanda unavyovitambua wewe viko mbinguni siyo mitaani?
  3. T

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari TANESCO, Ni mwezi wa tatu sasa tangu tumeomba kufungiwa umeme lakini kila tikiuliza tunapewa sababu mpya. Mara hatuna gari, mara team yetu iko busy inatengeneza nguzo zilizoanguka, na kadhalika na kadhalika. Tufanyeje?
  4. T

    Operator - Mashine ya kusaga

    Natafuta operator wa mashine ya kukoboa mahindi na kusaga unga. Ina uwezo wa kusaga tani kumi kwa siku. Awe na uwezo wa kufanya mauzo kwa kupeleka kwa wateja. Niko Dar es Salaam, Mbagala.
Back
Top Bottom