Recent content by TheTrf

  1. TheTrf

    Nauza milunda kwa ajili ya shughuli mbali mbali za ujenzi

    Wapi nikuletee boss..zipo pisi 3000
  2. TheTrf

    Nauza milunda kwa ajili ya shughuli mbali mbali za ujenzi

    Ziko pisi nyingi Sana kwa ajili ya fensi n.k zenye urefu wa 6ft 7ft na 5ft. Pisi moja Ni shilingi 1000. Kila kipande kimekuwa treated. Mzigo upo pembeni mwa barabara ya lami ,mpakani mwa njombe na Songea. 0684682777
  3. TheTrf

    Shamba linauzwa

    Nmeedit boss,nlikuwa na maana ya miti kama miti.
  4. TheTrf

    Shamba linauzwa

  5. TheTrf

    Shamba linauzwa

    Shamba la miti ya mbao Aina ya pines yenye muda wa miaka 7 na ukubwa wa ekari 200 linauzwa,bei Kwa kila ekari ni 1.8milion. Shamba lipo mpakani mwa njombe na songea,kijiji cha wino. Barabara inafika mpaka shambani(MITI TU NDO INAUZWA,UKITAKA NA ARDHI TUNAONGEA) 0673608867/0756803116
  6. TheTrf

    Gharama za kununua mashamba ya miti ya mbao

    Nitafute boss 0673608867
  7. TheTrf

    Gharama za kununua mashamba ya miti ya mbao

    Pia nina shamba eka 100,miti inamiaka 6 0673608867
  8. TheTrf

    Gharama za kununua mashamba ya miti ya mbao

    Ekari moja kwa miti pamoja na ardhi utapata kwa 1-2milions. Ila kama unawekeza miti tu..800k-1M
  9. TheTrf

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya fuso

    3.5 tons, 210 fighter , 0673608867
  10. TheTrf

    Natafuta mfanyakazi wa ndani aliesoma IT

    Nafasi bado ipo boss??
  11. TheTrf

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya fuso

    Wakuu hivi wapi naweza nikaajili gari aina ya fuso 210 fighter kwajili ya kujihakikishia kipato mwisho wa mwezi? Trip town zinataka upepo mda mwingine
Back
Top Bottom