Recent content by thetallest

  1. thetallest

    JamiiForums Tanzania Viongozi na Wafuasi wa Chadema Wafurika Mahakamani, Hatima ya Boniface Jackob kujulikana leo

    Wakimuachia kwa dhamana akatekwa?,lawama zije tena kwa serikali ndio imemteka?, Nafikiri ndugu jamaa na familia yake wawe wapole kwani alipo ni sehemu nzuri na salama zaidi kwake. Hivyo mahabusu patafanya watekaji waairishe mpango wao
  2. thetallest

    JamiiForums Tanzania Ado Shaibu: Nimeambiwa bado kuna matukio ya Watoto kupotea na vifo pia Kanda ya Ziwa, hatutakiwi kukaa kimya

    Hivi Masauni na Wambura wakijiuzulu nyadhifa zao,mauaji na upotevu wa watoto utakwisha?
  3. thetallest

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu

    Asili yako ni ya wachawi
  4. thetallest

    JamiiForums Tanzania Wanao Msifu Katoa Fedha Nyingi

    Hili nalo ni neno,aisee!
  5. thetallest

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura, ukijiuzulu hutapungukiwa chochote zaidi ya kujiongezea Heshima mbele ya Jamii

    Huo msamiati ni mgumu sana kwa viongozi wa kiafrika,kwani ukipata cheo sio utumishi wa umma bali ni kuula,sasa elewa hapo mpaka atenguliwe Juzi America kiongozi wa secret service kajiuzulu baada ya Trump kupigwa risasi
  6. thetallest

    JamiiForums Tanzania Mamlaka zisiishie kutengua tu; watenguliwa watemeshwe ukwasi waliolimbikiza ili iwe onyo kwa wengine

    Hili halina ubishi, Wizara ya nishati chini ya Waziri Makamba na Byabato wameliingiza taifa kwenye hasara kubwa sana. Hawakuridhika, walipokuwa Mambo ya Nje wamefanya madudu mengi, ni muda sasa kwa idara husika kurejesha Mali walizolimbikiza na kuwafungulia mashitaka kwa matendo yao.
  7. thetallest

    JamiiForums Tanzania Mmeona sasa utofauti kati ya Uwajibikaji wa Wazungu na Waafrika? Kwetu Rais mpaka afie madarani vinginevyo hatoki!

    Bado unapambana na marehemu?,,khanithi wewe
  8. thetallest

    JamiiForums Tanzania Nape na January Makamba mpaka sasa sijaona shukrani zenu kwa rais Samia kwa kuwapa dhamana mlizokuwa nazo, je ni nongwa ya kutumbuliwa?

    Kawaida ninavyofahamu mimi mamlaka ya uteuzi ina weza teua na kutengua bila kuhojiwa, nilitegemea vijana hawa kwa maana ya January Makamba, Nape Nnauye na Byabato wamshukuru Rais Samia kwa dhamana walizotumikia, lakini naona kimya. Je, hawaamini kama cheo ni dhamana?
  9. thetallest

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kwanini unazipuuza Ripoti za Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora? Mnyeti na Makonda wanabaki vipi Serikalini?

    Mavi ya njiwa wewe,unazunguka kindezi sana,achana na MAKONDA
  10. thetallest

    JamiiForums Tanzania Nape afunguka tena tishio la kutishiwa bastola

    Bado ni waziri
Back
Top Bottom