Recent content by Theorist Mosses

  1. Theorist Mosses

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ROCKET YA FALCON 9 IMERUKA KUELEKEA KWENYE KITUO CHA ANGA CHA KIMATAIFA

    Kampuni ya spaceX inayo milikiwa na mtu namba moja tajiri duniani "Elon musk" kwa kushirikiana na NASA wamefanikiwa kurusha rocket yao ya falcon 9 kwenye mission ya CRS-26 Cargo ambayo rocket hiyo imeruka kutokea duniani nchini marekani kwenye eneo la NASA's Kennedy space center Florida jana...
  2. Theorist Mosses

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Orion spacecraft ya shirika la sayansi ya anga NASA imefanikiwa kufika mwezini

    picha hii ni halisi imepigwa ndani ya lisaa limoja lililopita na chombo cha Orion spacecraft kilicho ruka na rocket ya mwezini kwenye mission ya Artemis I 🛰 kumbuka shirika la anga za mbali NASA, wanampango wa kumrudisha binadamu kwa mara ya pili kwenda kuishi kwenye mwezi baada ya kupita...
  3. Theorist Mosses

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni wakati wa taifa kuhakikisha ukuaji wa uchumi unaendana na hali halisi ya maisha ya watanzania

    kodi za majengo na biashara zimezidi kuongezeka sana na watanzania tunateseka sisi maskini.
  4. Theorist Mosses

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uchumi

    Hivi vimchezo vya namba bila shaka ni vyashule ya msingi nimekuuliza hizi namba zinahusianaje na uumbaji maana ndicho ulicho kipost ?
  5. Theorist Mosses

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uchumi

    Nakuuliza swali na wewe unauliza siume sema mimi sijui nakuuliza nini maana ya dimensions masuala ya vipimo kwani hapa tunazungumzia vipimo ?
  6. Theorist Mosses

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uchumi

    Naweza nikawa na weka mjadara na mtoto wa Darasa la Saba maana maswali ujibu ufafanui au ujaelewa hoja yangu. Kwasababu naona unaanza kuchanganya sayansi na dini Ngoja nikufafanulie kidogo sizani Kama utaelewa lakini. Katika dimension zipo 4 (4D) wewe kwenye post yako umezungumzia dimension...
  7. Theorist Mosses

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uchumi

    hivi Unajua maana ya dimensions ?
  8. Theorist Mosses

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uchumi

    Wewe sayansi yako hii umesomea wapi ? Nitajie formula ya hizo namba ulizotumia kuangalia uumbaji umezisoma kwenye chuo gani ? maana tukirudi past kwenye uumbaji itafikia sehemu tutakuta amna kitu yani ni empty hakuna namba hakuna herufi na hakuna sayari wala uchumi. Yani namaanisha tukitoka...
  9. Theorist Mosses

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tupunguze Mfumuko wa Bei kwa Kuwawezesha Wamachinga kuuza Nje ya Nchi

    Mmachinga maana yake nini ?
  10. Theorist Mosses

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nilivyoweza kuongeza kipato kutoka milioni 1 hadi milioni 14 kwa mwezi

    Kwani leo ujaenda kazini ?
  11. Theorist Mosses

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nilivyoweza kuongeza kipato kutoka milioni 1 hadi milioni 14 kwa mwezi

    Mimi chapisho lako sielewi kwamba unatulingishia kazi uliyo nayo au unataka kusaidia vijana, na Mimi ngoja nikuache nisije nikawa na bishana na Dogo wa darasa la Saba B bure.
  12. Theorist Mosses

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nilivyoweza kuongeza kipato kutoka milioni 1 hadi milioni 14 kwa mwezi

    Kwani lengo la post siume sema Una taka kusaidia vijana au una concept tofauti ?
Back
Top Bottom