JINA : MWANAMKE MSAGAJI AMENIAMBUKIZA UKIMWI.
MWANDISHI : RESTITUTA MASHAURI.
MAELEZO MAFUPI : Mwanamke Msagaji Ameniambukiza Ukimwi ni kitabu kinachoelezea simulizi la ukweli la wanawawake wawili wa Kitanzania Zuwena na Angel ambao wameambukizwa virusi vya ukimwi kwa njia ya kujamiiana na...
KITABU : MWANAMKE MSAGAJI AMENIAMBUKIZA UKIMWI
Zuwena ( sio jina lake halisi ), ni mwanamke wa kitanzania mwenye umri wa miaka 43. Kwa sasa mwanadada huyu anaishi na virusi vya ukimwi. Mwanadada huyu anabainisha namna, alivyo pata maambukizi ya v.v.u kw kujamiiana na mwanamke mwenzake, ama...
Zuwena ( sio jina lake halisi ), ni mwanamke wa kitanzania mwenye umri wa miaka 43. Kwa sasa mwanadada huyu anaishi na virusi vya ukimwi. Mwanadada huyu anabainisha namna, alivyo pata maambukizi ya v.v.u kw kujamiiana na mwanamke mwenzake, ama kwa lugha nyingine, Zuwena anaeleza namna ambavyo...
Wanawake wengi siku hizi wanaingia kwenye usagaji kwa sababu ya imani za kishirikina. Kwa mfano hapa jijini Dar Es salaam, kuna kikundi cha wanawake wasagaji wanao fanya usagaji kwa imani za kishirikina Wanawake hawa wana hirizi zenye nguvu sana na akitembea na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.