Recent content by themwamba1

  1. themwamba1

    Vodacom sasa watapatapa kutafuta wateja

    Sio kweli Mimi natumia Voda na Airtel.
  2. themwamba1

    Prof. Issa Shivji, Sikutoa maoni mimi kwenye tume ya Jaji Warioba

    Kamuinga Rais wake, maana mheshimiwa naye badala ya kutoa maoni kwenye tume, kaenda kuyatoa maoni yake kwenye Bunge la Katiba. Na Prof naye kakacha kutoa maoni kwenye tume, kayatoa kwenye Kongamano. Huu ndiyo usomi wetu .
  3. themwamba1

    Bungeni: Hati za muungano mvurugano

    Funika kombe mwanaharamu apite..... Tutaujua tu ukweli.
Back
Top Bottom